madudeyahatari
Senior Member
- Apr 11, 2017
- 137
- 39
Labda ungeanza kuuliza nguvu kubwa nyuma ya pazia ya utekaji watuKwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
None of them, naona amekuja kutukana tu vyombo binafsi vya habari..Mkuu unauliza swali au unatuambia kitu au umeweka hoja mezani Tui discuss
Nimeshindwa kushangaa asee!None of them, naona amekuja kutukana tu vyombo binafsi vya habari..
yy chombo kizuri cha habari ni kile kinachosifia serikali,
alafu jamaa anainekana kichwani kwake hamna kitu.. toka lini chombo cha habari kikaweza kukwamisha maendeleo yanayofanywa na Serikali
Akiri za kibashite hueleweki unaongea nini?Itakavyokupendeza mkuu
Ushuz mtupu sasa hapa unauliza au unatumbia?Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Mbona hata mutoto wa tandale tu,keshasema anapotoa nyimbo hategemei haya magazeti na TV/radio.Huko tumetoka kitambo sana nahao wamiliki wanajua kama wanapumulia mashine tu.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Kama sio RC basi ubataka u RC,Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Unaona linavyojiita eti "madudeyahatari" kumbe linahara tu!!Ushuz mtupu sasa hapa unauliza au unatumbia?