jamani siku hizi kumeibuka website nyingi zikisema MAKE MONEY ONLINE kuna ukweli wowote kuhusu iki kitu maana wanasema wanalipa kwa dola ukisoma matangazo habar n.k kuna mtu yoyote ambaye ameshafanikiwa na hizi habar.?
inategemea hizo ola umezitoa kwa site gani, ilizihitaji za nini na mna makubaliano gani maana kujaribu kila kitu si kila wakati ni ujasiri ila fuatilia vizuri maana zipo namna za ku MAKE MONEY ONLINE japo si rahisi.............