• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ni kweli kubadilisha Windows kunaondoa Virus?

buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
348
Points
250
buyoya419

buyoya419

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2017
348 250
Kuna dhana imejengeka kuwa kubadilisha "Window" kwenye kompyuta ni njia mojawapo ya kuondoa Virusi. Je hii ni kweli?? Karibu tujadili pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
poposindege

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
433
Points
225
poposindege

poposindege

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
433 225
Ndio.

Unapofanya format PC yako
Inakuwa umeondoa kila kitu ikiwemo na Virus na unaweka Windows iliyokuwa mpya isiyo na Virus.

Kuna dhana imejengeka kuwa kubadilisha "Window" kwenye kompyuta ni njia mojawapo ya kuondoa Virusi. Je hii ni kweli?? Karibu tujadili pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
etkahigwa

etkahigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Messages
711
Points
500
etkahigwa

etkahigwa

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2014
711 500
Kuna dhana imejengeka kuwa kubadilisha "Window" kwenye kompyuta ni njia mojawapo ya kuondoa Virusi. Je hii ni kweli?? Karibu tujadili pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli japo sio kila ikiwa infected na virus, ni lazima ushushe windows, kuna antivirus nyingi nzuri kwaajili ya kuondoa virus kwenye pc.
 
Forum statistics

Threads 1,405,596
Members 532,052
Posts 34,490,138
Top