Ni kweli Kenyatta alitumwa na wenzake?

Ni kweli Kenyatta alitumwa na wenzake?

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,528
Reaction score
28,482
Rais wa Kenya alikuwa Israel wiki ya tatu ya mwezi February mwaka huu, na anasema alikuwa ameaminiwa na kutumwa na majirani zake kwakilisha maoni yao kuwa wanaamini katika uwezo wa Israel kuimalisha maendeleo yao na masuala ya usalama kukabiliana na 'magaid' kupitia IGAD...fuatilia habari hii.
=============================
Kenyatta said he had been entrusted on his mission to Jerusalem by Ethiopia, Tanzania, Uganda, Rwanda and South Sudan. All six governments trusted in Israeli assistance acting as the lever for upgrading their Intergovernmental Authority on Development (IGAD), which normally deals with drought and development enterprises, into a multilateral sword against Islamist terror
As an associate member of IGAD, Israel would undertake to reorganize its members’ armed forces, intelligence capabilities and anti-terror bodies, and outfit them with the weapons systems and advanced electronic equipment needed to root out the scourge of terrorism>>>

Source: Six East African Countries Bid for Israel’s Help in War on Islamist Terror

==========================
Mimi nauliza kama Waheshimiwa Kagame, Kaguta, Magufuli na wengine kama walikaa na kumtuma Mh. Kenyatta, U. huko Israel?
Kwa taarifa nilizonazo, ni kuwa wakubwa hawa walikutana siku ya mwisho ya mwezi February, 29. Vyanzo vya taarifa zangu ni:
17th EAC Heads of State Summit set for 29th February, 2016 in Arusha | East African Community

http://allafrica.com/stories/201603010521.html
Kuna maneno mengi amesema huko...anasema africa Mashariki wanachukia misaada ya china kisa eti ni ghali...Kenyatta jamani ....ebu isomeni taarifa hiyo kwa umakini mjiounee wenyewe. Sasa nauliza walikutana lini na kumtuma huko ng'ambo kuomba kueleza hayo? Ndiyo maana nauliza
Ni kweli Mh. Kenyatta alitumwa na wenzake...?
 
Kenyans wanaweza kudanganya kwa lolote ili wafanikishe misheni zao.

CeS1xrIWIAAknZa.jpg

Naona hata Museven kwenye ishu ya bomba la mafuta keshawastukia ndio maana anawaambia bye bye, nimerudi Tz
 
Kawaida yao mkuu , kwani huwajui Mugabe keshakwambia wAnatamani kuliiba hata jua ila hawajui watalificha wapi


Kule kwao kuna vyuo vinatoa Bsc in Stealing
aisee hii nimeipenda haha
 
Unajua ujanja ukizidi sn mwisho wa siku unaonekana mshamba,sasa wanachokifanya kenya ni kujiona wao wanjanja sn,wanajua sn kumbe hawajui kuwa wanajiandalia mazingira magumu na ya hatari siku za badae.
 
Back
Top Bottom