Ni kweli Kakakuona anatabiri?

Kwa hiyo tuwe na imani naye!!! Yaani ningeomba atabiri amani yetu iliyopotea awamu ya nne.
 
Huo ushirikina ndio umetufikisha hapa tulipo. Badala ya kumtegemea Mungu watu watategemea wadudu na wachawi. Inavyoelekea huyo kaka kuona ni pepo tu anawachanganya. Hatuhitaji sijui mdudu /mnyama kututabiria mambo wakati tuna watumishi wa Mungu kila mahali.
 

Usitake kufananisha hizi habari na sayansi, utapata aibu.

Journal gani linaloheshimiwa kisayansi limeandika paper yoyote kuhusu Ngakakuona?

Huyo Lazaro hata hatujui kama alikuwapo kweli au ni hadithi kama za Huck Finn.
 
jamani au mwamfananisha na babu wa loliondo, ambaye hadi viongozi walimsujudia na kumwamini na wakalishwa maji taka?
 
Ni mnyama kama wanyama wengine na yote yanayotizamiwa juu yake ni upuuzi tu.
 

mbona unachanganya habari?!, kama unakemea utabiri wa kakakuona kemea pia na unajimu wa hao viongozi wako wa dini maana nao ni viumbe kama alivyo huyo mnyama.
 

Mkuu hizo ni Imani tu umuhimu wake upo kwenye kuamini kama haumanini it doesn't make sense anayetafuta majibu rahisi kwenye mambo magumu ndo anahitaji kukuza kipaji chake cha critical thinking kama hatutaki kulima kwa njia za kisasa hautaji kakakuona kujua kama kutakuwa na njaa,kama hakuna haki na usawa ktk nchi hauhitaji kakakuona kujua kuwa Amani inaweza kuvurugika
 
Naona ameonekana DSM na anaoneshwa kwenye taarifa ya habari ya Clouds Tv. Kuna watu uwa wanaamini kwamba ana uwezo wa kutabiri je ni kweli ana uwezo huo?

Hivi Kakakuona ndiyo "Coyote" kwa lugha ya wenzetu?
 
Wamatumbi nyie kiboko, wajerumani wakitumia pweza kutabiri mtapongeza na kuona ugunduzi lakini wamatumbi wenzenu wakitumia kakakuona mnajidai mnashangaa, mbona hata nyuki wanaakili kuliko binadamu katika kutengeneza asali? binadamu hajakamilika na vingine anapata kutoka katika wanyama pia. Kama mbwa anatumika kunusa madawa ya kulevya na panya wananusa mabomu.
 
mbona mbwa na paka wanaweza kutoa taarifa za kifo cha mtu.....au hata hilo tunalibishia?
 

kwaio ndo "mwenye nyumba" anatembea na gambalake huko nchi za watu ili awe na bahati ya kugaiwa vyandaru vya fut 3?
 
Baada ya kuonekana huwa anatoweka au anafugwa au anauawa??
 
huyu anaitwa Pangolin na ni kitoweo kwa nchi nyingi za Africa na Asia.....
how to cook a pangolin as described by a Guangdong
chef 'We keep them alive in
cages until the customer makes an order.
Then we hammer them unconscious, cut their
throats and drain the blood. It is a slow death.
We then boil them to remove the scales. We
cut the meat into small pieces and use it to make a number of dishes, including braised
meat and soup. Usually the customers take the blood home with them afterwards.'"
source:
en.m.wikipedia.org/wiki/Pangolin
 
mbona unachanganya habari?!, kama unakemea utabiri wa kakakuona kemea pia na unajimu wa hao viongozi wako wa dini maana nao ni viumbe kama alivyo huyo mnyama.

uyo kakakuona kwani katabiri nini hasa? hizi ni imani tu zisizo rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…