Ni kweli hii

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Hii ni kwa Mujibu wa Basket Mouth, Nigerian Comedian.
WHITE GIRLS
1st Date : Coffee
2nd Date : Kiss
3rd Date : Sex

BLACK GIRLS
1st Date : Fast Food
2nd Date: Hug
3rd date: Chinese Restaurant
4th Date: Kiss
5th Date: Attempted Sex but failed
6th Date: Shopping
7th Date: Cinema, New Phone, More Shopping
8th Date: Attempted Sex but failed
9th Date: RAPE!!!
 
Hizi ni fix tu za kumdhalilisha mtu mweusi. Walaaniwe wabaguzi wote ndani ya mwaka huu WA 2014
Nalog off
 
Kama ni kudhalilishwa sio weupe hapo?
hapo inaonesha weupe ni werevu mara tatu anatoa kazi ILA mtu mweusi mpaka abakwe ndio anatoa kazi. Jiulize katika wanawake wanaokuzunguka ni wangapi wamebakwa kwenye mahusiano yao
Nalog off
 
loh !!!! kwa hiyo aafrika wanabakwa hamna ukweli
 
hapo inaonesha weupe ni werevu mara tatu anatoa kazi ILA mtu mweusi mpaka abakwe ndio anatoa kazi. Jiulize katika wanawake wanaokuzunguka ni wangapi wamebakwa kwenye mahusiano yao
Nalog off

Sasa unakutana na mtu mara tatu tu unaenda kusex nae, huyo mwanamke si atakuwa na matatizo.
 
Kama ni kudhalilishwa sio weupe hapo?

Kama ni kweli, nadhani issue sio kubakwa ila ni kwamba mabinti wa kiafrica hawamuani mtu haraka, na wanahitaji waone commitment ya mwanamme kwanza kabla hawajajikabidhi. wazungu inaonekana ni maji mara moja kumbe??
 

Hii labda huko Nigeria lakini Bongo, nunua usafiri tu!! Hayo mengine story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…