Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Ukiachilia mbali vituko na hoja zisizo na maana zinazoibuliwa sasa na wabunge wa CCM na kutuacha tukihamaki kwa mshangao huku tukijiuliza kama "mwakilishi" wa wananchi ndo yuko hivi wananchi wake wakoje?!,
Jana napo moja ya headline iliyotoa nafasi Bungeni ni pamoja na hii ya Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega kutumia muda mwingi kuongelea masuala ya familia yake na kuelezea jinsi alivyofikia uamuzi wa kumwita mtoto wake jina la naibu spika.
Ulega alisema…>>>’Mke wangu mwaka jana alipoteza mtoto wa umri wa miezi tisa, mwaka wa majuzi pia alipoteza mtoto wa miezi tisa lakini hakukata tamaa na hatimae mwaka huu mambo yamependeza tumepata mtoto na mtoto huyu nitampa jina la Tulia‘
Swali langu ni, Je hizo ndizo hoja mnazowatuma Wabunge wenu kuja kutumia muda kujadili Bungeni?
My take: Naanza kuamini kuwa mpaka serikali inazuia bunge live ilijua vizuri chama chake kimepeleka bungeni watu wa namna gani.