Sitaki kuzungumzia kuhusu kushuka kwake maana hilo lipo wazi na wala halihitaji mtu mwenye digrii ya muziki ili kung'amua jambo hilo. Ukweli ulio wa haki muziki wa huyu jamaa ni mwepesi sana ukilinganisha wasanii wengine wa kariba yake japo si wote. Kama wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kuwa siku moja Diamond atakuja kuwika anga za kimataifa basi utakuwa hujui dunia inahitaji muziki upi. Wapo watakaosema mbona Ngololo imeshika namba moja Trace Tv ila nikuambia hiyo imetokana na uwepo wa Davido katika wimbo huo. Ladha za nyimbo nyingi za Diamond ni bazoka, utamu unaisha fasta, na dunia haitaki aina hiyo ya muziki. Sikilizi le wimbo wa Nikupe ulioimbwa na akina Mandojo kisha fananisha na Ngololo labda ndo utadhibitisha kuwa mashairi ya Diamond ni mepesi. Diamond huu ni mwanzo wa mwisho wa zama zako!!!!!
Mpwa nadhani leo unaweza kusema mtu mwenye nyumba yake tena kubwa hawezi kuweka studio kwenye nyumba ya kupanga!!!Nimevuka mipaka binamu eeh? Tatizo muongo muongo sana, anajifanya ana hela kumbe wapi, nasikia na ile Prado ya chief kiumbe mwenyewe kachukua ipo yard kachube inapigwa bei, hana nyumba yeyote isipokuwa ile ya tegeta anayojenga miaka nenda rudi, halaf ndo anasema kwenye account ana zaidi ya billion kweli binamu? Au namsingizia? Uwe na billion kwenye account halaf uish nyumba ya kupanga, ebu changanya akili za kuambiwa na za kwako utapata jibu, japokuwa inasemekana yeye analipwa pesa nyingi kuliko wenzie ila bado hana pesa za kihivyo, alitak kununua hyo Prado kwa kiumbe hela ikamshinda mwenyewe kachukua chake
Nyimbo ya mwaka juzi ina shika number 1! Hiyo tv ya kijinga hiyonumber one remix inashika #1 kwenye traceTV.That proves kwamba still kijana bado yuko vizuri tena not locally.
Shuka ya size ganJamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau wananikwaza je ni kweli dgo ana drop?
Warumi upo!mkuu wa ubuyu tanzania nzima..Nimevuka mipaka binamu eeh? Tatizo muongo muongo sana, anajifanya ana hela kumbe wapi, nasikia na ile Prado ya chief kiumbe mwenyewe kachukua ipo yard kachube inapigwa bei, hana nyumba yeyote isipokuwa ile ya tegeta anayojenga miaka nenda rudi, halaf ndo anasema kwenye account ana zaidi ya billion kweli binamu? Au namsingizia? Uwe na billion kwenye account halaf uish nyumba ya kupanga, ebu changanya akili za kuambiwa na za kwako utapata jibu, japokuwa inasemekana yeye analipwa pesa nyingi kuliko wenzie ila bado hana pesa za kihivyo, alitak kununua hyo Prado kwa kiumbe hela ikamshinda mwenyewe kachukua chake
Uzi wa mwaka 2014 ww [emoji12]Nyimbo ya mwaka juzi ina shika number 1! Hiyo tv ya kijinga hiyo
Nimesoma huu uzi nikagundua kuwa binadamu tujifunze kuweka akiba ya maneno.Sema haki ya Mungu. Kweli haters mnajibiwa hapa hapa duniani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tuletee mrejesho.. Unaonaje kijana kashapote? au mganga wako alifariki?
Mkuu angalia kwanza comment ya mwaka ganNyimbo ya mwaka juzi ina shika number 1! Hiyo tv ya kijinga hiyo
ya ana shuka za kujifunikia nyumbani kwake na pia huwa anashuka kwenye gari, kwenye ngazi nkJamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau wananikwaza je ni kweli dgo ana drop?
Eiiiishh..!!Sitaki kuzungumzia kuhusu kushuka kwake maana hilo lipo wazi na wala halihitaji mtu mwenye digrii ya muziki ili kung'amua jambo hilo. Ukweli ulio wa haki muziki wa huyu jamaa ni mwepesi sana ukilinganisha wasanii wengine wa kariba yake japo si wote. Kama wewe ni miongoni mwa wanaofikiria kuwa siku moja Diamond atakuja kuwika anga za kimataifa basi utakuwa hujui dunia inahitaji muziki upi. Wapo watakaosema mbona Ngololo imeshika namba moja Trace Tv ila nikuambia hiyo imetokana na uwepo wa Davido katika wimbo huo. Ladha za nyimbo nyingi za Diamond ni bazoka, utamu unaisha fasta, na dunia haitaki aina hiyo ya muziki. Sikilizi le wimbo wa Nikupe ulioimbwa na akina Mandojo kisha fananisha na Ngololo labda ndo utadhibitisha kuwa mashairi ya Diamond ni mepesi. Diamond huu ni mwanzo wa mwisho wa zama zako!!!!!