mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Wadau, mheshimiwa sana kikwete amesema bunge la katiba liliingiliwa na mapepo na kuvuruga mchakato mzima wa katiba mpya, na kuwaomba viongozi wa dini wawaombee wajumbe wa katiba wawe na mshikamano ili kumalizia vifungu vyote vilivyobakia,mosi swali la kujiuliza hapa hayo mapepo ni kina nani ? Je ni ukawa ? Au ni ccm ? Na hayo mapepo yaliyowaingilia wametoka wapi na wana sura ya kibinadamu.kwanini hayo mapepo watuonee wivu watanzania na katiba yetu na kuamua kuvuruga. Nipeni ushauri wenu wadau haya mapepo ni viumbe gani kikwete anayeomba viongozi wa dini kuyakemea ?.nawasilisha