marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,091
- 1,915
Mara nyingi tunapo jaribu wakumbusha ndugu zatu mashabiki wa Arsenal juu ya uwezo na ukubwa wa team yao, huja juu na huwa wana hisi pengine ni chuki au utani na dhihaka za kawaida kwenye soka..
Kitu ambacho hawakijui ki kwamba huu si mzaha wala utani!, Arsenal ni miongoni mwa vilabu vya daraja la chuni pale uingereza.
Labda jiulize swali la kawaida, hadhi ,ukubwa na laraja la clabu ya Arsenal uko wapi?.
UEFA ambayo ni mashindano makubwa zaidi kwa ngazi ya vilabu pale ulaya ina vila 22 tofauti viliyo wahi beba kombe la UEFA toka kuanzishwa kwake ARSENAL HAIMO...
Mpaka Nothengham Forest na Aston Villa wamo wao hawano.
Ligi kuu ya Uingereza(EPL) imetoa bingwa wa UEFA mara 15 ARSENAL HAIPO
Kwenye histotia ya ligi ya Uingereza ni vilabu vitatu tu!, vime weka historia ya kutetea ubingwa wa ligi hiyo, ARSENA HAIPO ni Manchester United, Manchester City, na Chelsea tu.
Uingereza ni clabu mbili pekee zime chukua makombe matatu makubwa kwatika msimu mmoja ( Treble) ARSENAL HAIPO ni Manchester zote mbili yani city na United..
Kwenye historia ya tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Balon D'or ni clabu moja tu ndio ime toa mshindi wa tuzo hiyo akiwa anaichezea clabu hiyo ARSENAL HAIPO ni Manchester United pekeao ndio wana historia hii...
Wao watasema sisi ni hater ila ukweli upo wazi mara ya mwisho Arsenal ana kuwa bingwa wa EPL ni 2004 wengi wetu hatukua tunaelewa chochote hadi leo.
Arsenal huu ni mwake wa 5 hawana hata kikombe cha kuku na wanaona sawa utawaskia "trust the process"
Swali la msingi ukubwa wa Arsenal uko wapi?