Ni kweli ajira za walimu hadi mwezi wa saba?

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,114
RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Jumla ya Walimu wapya 40,000 ambao wamehitimu mwaka 2015 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 July 2016. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 19,973 na walimu wa shule za sekondari ni 20,027 (wakiwemo 9,206 wa Stashahada na 10,821 wa shahada)

Orodha rasmi ya walimu wapya ikionesha Halmashauri mbalimbali walikopangwa itatangazwa kwenye tovuti ya Ofisi ya TAMISEMI (www.pmoralg.go.tz) na ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (www.moe.go.tz) ifikapo tarehe 15-june-2016.

Imetolewa na :
Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
15/03/2016
 
Makanjanja at work!!!
 
Mbona haipo kwenye tamisemi
 
Back
Top Bottom