Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
ni vigumu wengi kuamini sasa hivi ndani ya nchi yetu tumeingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo imeanza muda mrefu ila siku zinavyozidi kwenda inaongezeka.
vita ninayoizungumzia sio vita ya bunduki wala mabomu bali ni vita kati ya watu waliofanikiwa katika maisha na watu wasiofanikiwa katika maisha.
ninasema hivo kutokana sababu au ishara zifuatazoo.
1.siku hizi kama miaka ya nyuma ulikuwa una maisha mazuli ikitokea umefilisika basi watu wengi wa karibu nawe watafurahi huku wakisema mwaka huu ni lazima tuheshimiane.
2.kama ulikuwa unafanya kazi ikitokea umesimamishwa utasikia watu wakisema jamaa katumbuliwa alikuwa anaringa sana bora arudi mtaani awe kama sisi heshima irudi mtaani.
3.ikitokea umefanikiwa katika biashara zako au kazi zako utasikia wengine yule kamtoa kafara mzazi wake, mara kaua watoto wa kaka zake au katoa kafara watoto zake.
4.kama ulikuwa enzi za nyuma unapata pata hela kutokana na mishemishe unazozifanya sasa kama kipindi hiki ikitokea mishemishe zako zimekwama basi wengi watafurahi na utasikia afadhali enzi zile tulikuwa hatukai kwa raha sasa hivi bora kafilisika heshima irudi
watu vwote tuwe sawa.
kitu ninachojiuliza hivi ni kwanini watanzania hatupendi nchi hivi hii vita ya kimaendeleo ni nini hatma yake