Ni ukweli mtupu umeongea, kisheria tunasema umeprovide material fact. Ila kumbuka yafuatayo.Baada ya kusoma huu uzi ninegundua yafuatayo:
Bado kuna baadhi ya wana JF wana uelewa mdogo sana katika kuchambua vitu wanaendeshwa na upepo wa hoja na sio current realistic situation.
1. Unadhifu:
Kusema walimu sio nadhifu nakataa kabisa kwa walimu wengi tunaowaona kwa sasa ni vijana and in most cases they are smart. Tuache wale wanaoenda kustaafu (wazee)
2. Madeni:
Siwatetei walimu ila kwenye swala la madeni sio waalimu pekee taasisi tulizopo tunapokea watu wa kila kada na ofcourse ukiangalia SP zao madeni ni ya kutosha km walimu tu, tatizo ni kwamba walimu ni wengi kidogo kuliko kada nyingine that's why wanaonekana wana madeni sn. Sitaki kwenda deep kwa hili coz its not allowed to disclose customers info. (Ila hata wale wa kada smart[emoji23] wana madeni sana. Shida hawana walimu tu naomba ieleweke hivyo)
3. Elimu:
Recently walimu wenye bachelor wameanza kupelekwa kufindisha hadi watoto wa shule za msingi. Pia kuna kada kama nursing naona kwenye matangazo ya TV wanasema mhusika awe form four leaver na awe na D mbili au tatu. (Hawa nao vip?) Kwanin wahanga ni walimu tu?? Mtoa mada anipe jibu?
4. Kipato:
It's obvious mkiwa wengi share lazima itakuwa ndogo but Recently walimu wana drive tena wa shule za msingi. Wengine wamefungua maduka ya dawa na wemewaajiri wale wa kada smart[emoji846][emoji23]. Naongea haya sababu tunayaona ukienda mashulen walimu wamepaki Mikebe wengine keyboard warriors tunasema wana hali mbaya na hatuna hata boda[emoji56][emoji56][emoji38]
5. Dharau:
Ni uelewa ule ule msaada wa walimu kwa mtoto wangu siwezi kuubeza kwa namna yeyote ile. Tupo bize na uzi kutafunana kimasihara na mkishafyatua watoto mnawakimbiza huko huko kwa hao mnaosema wamefeli[emoji1][emoji1] why usiwapeleke nje???
Way Forward:
Sisi ndio matokeo ya walimu kuwa wengi sababu tunazaana mno na serkali yetu haiwezi kuhudumia wingi huu km vile tunavyotaka la tupunguze kuzaana na tuache kusoma ule uzi wenu pendwa[emoji39][emoji2960].
Mnatoa mifano walimu wa ng'ambo kuwa they are highly educated & their paychecks are awesome ila mnasahaua wanahudumia idadi ndogo sana ya wanafunzi (Wazungu uzazi wa mpango ndio life style yao) kulinganisha na sisi huku Africa ambapo kwa utamaduni wetu watoto wengi ndio mtaji na ufahari. Why hatutumii akili kuona haya??
Nilifikiri badala ya mtoa uzi au mada kudhihaki waalimu ambao naamini hata yeye amepita kwenye mikono yao (Labda km kusoma nje). Angesema mini hasa kufanyike badala ya kebehi tusidharau mchango wa walimu hata kidogo. Juzi ilitokea Corona, shule zikafungwa kwa kweli tulitafutana sasa zingefungwa mwaka hata sijui ingekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
These people need special treatment and respect they do more than what they put in their pockets.
Respect Sir. [emoji1812]
Hao hao wanaodharaulika ndio waliotoa wengine wakawa Marais, mawaziri, mainjinia, madaktari, kwa hiyo uonayo ni IQ ndogo. Wewe unaonekana smart na hao walimu primitive... Lakini walikufundisha namna ya kupenga kamasi na kuondoa tongotongo usoni. Ni primitive sawa lakini wanaondolea watoto wetu primitivity. Mimi niwashukuru walimu kwa kazi njema isiyo na shukrani . Sisi wazazi hatuwezi kazi zenu, Mungu awabariki , awalinde muendelee kuhudumia taifa. Mti uzaao matunda ndio upigwao mawe.Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Una historia ya elimu yake huyo ???Hili hata Samia juzi kasema zanzibar, amesema moja ya vitu serikali ili fanya makosa nikuchukua waliofeli wakasome ualimu, ndio maana ni wengi mitaani wapo zaidi ya laki tano Hao bado hawana ajira
Nje ya mada, nenda ukakomenti kwenye specific thread sio kwenye huu uzi.Tunakufungulia mashitaka ya kuvunja ndoa za watu,Sheria ya 1979 kifungu cha 14View attachment 2272444
Nasema naanza kupata mashaka na uelewa wako. Hoja zote nilizoandika hayo ndio majibu yako?? Are u serious??Ni ukweli mtupu umeongea, kisheria tunasema umeprovide material fact. Ila kumbuka yafuatayo.
1.Kuwa na gari sio maendeleo hiyo ni liability not an asset.
2.Hao vijana unaowaona ni smart, ni wale checkbob ambao ndowanalawiti wanafunzi nakuwakatili kingono, rejea kesi ya yule mwalimu wa global international school.
3.Kukopa kupo kwa kila mtu, shida inakuja kuhimili huo mkopo na maisha yako ya kila siku. Hata wabunge wanamadeni ila sasa tunakuja kuangalia je hilo deni litaendelea kumfanya awe comfortable?, usiwe unakopa ukashindwa hata kuvaa nguo nzuri mwishowe ukajinyonga kwa madeni kama yule jamaa wa shinyanga.
4.Basic salary ya mwalimu ni aibu, taasisi zingine zinamishahara inayojali utu na inakidhi mahitaji. Sasa nikiwaambia mishahara yao ni duni inabidi serikali ifanye marekebisho wao wananijia juu.
5.Yote kwa yote walimu ni potential sana tena sana kwenye jamii zetu hilo lipo wazi, ndio maana nawaambia wasikubali kuwa kituko kwenye macho ya viongozi inabidi wawe chachu ya mabadiliko. Inabidi wafanye strike maana wana makato mengi sana na hayo makato yanaishia kwa wapiga dili.
Baadhi ya watu wana uelewa na busara ndogo sana inabidi tuwaache tuHao hao wanaodharaulika ndio waliotoa wengine wakawa Marais, mawaziri, mainjinia, madaktari, kwa hiyo uonayo ni IQ ndogo. Wewe unaonekana smart na hao walimu primitive... Lakini walikufundisha namna ya kupenga kamasi na kuondoa tongotongo usoni. Ni primitive sawa lakini wanaondolea watoto wetu primitivity. Mimi niwashukuru walimu kwa kazi njema isiyo na shukrani . Sisi wazazi hatuwezi kazi zenu, Mungu awabariki , awalinde muendelee kuhudumia taifa. Mti uzaao matunda ndio upigwao mawe.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Aya bhana.Watumushi wa Umma kwa idadi yao inajulkana, Walimu ndio wengi kwa idadi yao kwahiyo ni rahisi mno kuwaona mtaani na siku za mishahara ni jambo la kawaida kila mtu kwenda kuchukua haki yake.
Kuhusu uliyoandika kuwahusu Walimu na akili zao, kila mwenye akili timamu atakubaliana na mimi kuwa wewe ni mtoto mdogo uliyekosa maarifa na adabu au kama una umri mkubwa basi ni miongoni mwa watu wa hovyo wanaopatikana katika jamii yetu.
Kwa maelezo yako wewe hata kama utakuwa Engineer, Daktari, Mhasibu...bado ukiwa ofisini utawadharau wale wenye elimu ya cheti au vibarua.
Na haya unayoandika ni dalili za mtu aliyekosa ajira kwahiyo anahisi ajira za Walimu ni upendeleo wakati yeye alichokisoma hakijapewa kipaumbele.
Kuhusu Walimu kushiriki shughuli za kitaifa kama wasimamizi na sio kada nyingine hujajiuliza, hata hao wengine hawajakatazwa na wanashiriki kuanzia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wakurugenzi na Polisi. Sasa kama ulitaka Walimu wakawe walinda usalama kwenye sensa au wakawe madaktari ili hizo kada nyingine zikafanye kazi ya kuandika majina utakuwa mtu wa ajabu kweli.
Kwenye uchaguzi au Sensa au jambo lolote lile la kitaifa kila kada ipo, Engineers wapo kwenye mifumo, Watu wa mahesabu na takwimu wapo, Watu wa Sera na mipango wapo, Jeshi na Polisi wapo pia.
Kuhusu maisha yao na akili zao umechukua sample yako ukaifanya kuwa jibu, mishahara ya Walimu na kada nyingine inajulikana, kinachotofautisha ni mianya ya WIZI tu na sio ukubwa wa mishahara.
Ndio, ana masters ya administration