Ni kwanini tusifikirie Big Results Now katika viwanda?

Ni kwanini tusifikirie Big Results Now katika viwanda?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,216
Reaction score
162,799
Ni kwanini serikali haitoa kipaumbele katia uwekezaji wa viwanda hapa nchini?Hivi tukiwekeza katika viwanda ambavyo sehemu kubwa ya maliasili/malighafi zitatoka hapa nchini tutashindwa?

Serikali haiwezi kuingi ubia na makampuni ya nje katika huu uwekezaji?Kwa mfano, viwanda kama vya "toothpick" navyo vitatushinda?

Ukiwekeza kwenye viwanda utakuza uchumi,utazalisha ajira n.k.So why the goverment does not think about BRN in this sector?

Our country is endowed with so many resourses but i wonder why we are failing even to utilize this potential?!
 
Serikali haina kiwanda inachomiliki; wazo lako lingefaa iwapo serikali ingemiliki viwanda.

Serikali ya CCM iliuza na kutoa bure viwanda vyote mara baada ya Nyerere kung'atuka.
 
Serikali haina kiwanda inachomiliki; wazo lako lingefaa iwapo serikali ingemiliki viwanda.

Serikali ya CCM iliuza na kutoa bure viwanda vyote mara baada ya Nyerere kung'atuka.

Adhabu yao inakuja.Vijana wanamaliza vyuo hawana ajira.
 
Mkuu Salary Slip hakuna kitu kwenye hiyo BRN ni usanii tu kama usanii mwingine wowote uliowahi kufanywa na MACCM ikiwemo ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, Kilimo kwanza, tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele.
 
Last edited by a moderator:

Siku zote huwa naamini kuwa "umasikini wa mwafrika ni matokeo ya kushindwa kufikiri ipasavyo".

Mkuu BAK hivi sisi watanzania,kwa mfano,tulitaka mungu atupe nini?!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

viwanda vimegeuzwa showroom za magari na furniture centers na supermarket barabara yote ya Nyerere ..wameweka Brn kwa wasanii ili muendelee kuimba sana na kunywa pombe
 
Viwanda labda wasimamie wazungu kwenye management tukiwa sisi watu weusi Hamna kitachofanyika.
 
Hapa nchini wanasiasa wako busy na siasa. Uchaguzi, siasa za maji taka n.k. saa ngapi wataanza kufikiria mambo ya maendeleo? Tumekalia politiki tu ndugu yangu.
 
Hapa nchini wanasiasa wako busy na siasa. Uchaguzi, siasa za maji taka n.k. saa ngapi wataanza kufikiria mambo ya maendeleo? Tumekalia politiki tu ndugu yangu.

Hata hizo siasa zimetushinda tunachoweza watanzania ni kusalimiana kuanzi asubuhi mpaka jua linapozama(habari...,umeamkaje....,za kushind....,shikamooo...,mambo... n.k).Hiki ndio tulichojaliwa lakini vingine vyote ni sifuri!
 
Salary Slip,

..sera ya CCM ni kwamba kila mtu ajiajiri, forget about kuajiriwa.

..kwa msingi huo usitarajie kwamba serikali itajihusisha na masuala ya ujenzi wa viwanda.

..binafsi sijaona nchi iliyoendelea bila kuwa na viwanda, au nchi iliyoendelea halafu asilimia kubwa ya wananchi wake wamejiajiri wenyewe ktk sekta isiyo rasmi.
 
Last edited by a moderator:
MIMI MWENZENU HAPA NIMECHAGULIWA KWENDA KUGONGA Bsc. in mechanical engineering. ILA SIJUI AJIRA NITAPATA WAPI BAADA YA KUHITIMU COZ VIWANDA HAPA KWETU NI SHEEEEDAAH.
 
Mkuu wazo lako nalikubali asilimia 100 kwenye BRN serikali imejikita katika mambo ya Elimu, Afya na Miundombinu ambavyo vyote hivyo ni sehemu ya huduma kwa jamii.

GAP liliopo ni BRN kutojikita katika masuala ya kiuchumi moja kwa moja kama Investment, Industry and Market.
 
MIMI MWENZENU HAPA NIMECHAGULIWA KWENDA KUGONGA Bsc. in mechanical engineering. ILA SIJUI AJIRA NITAPATA WAPI BAADA YA KUHITIMU COZ VIWANDA HAPA KWETU NI SHEEEEDAAH.
hayo maneno mawili ya mwisho yamesadifu ulivyo. badilisha muelekeo na fikra kisha utaona njia ya kuendea.
 
serikali haiwez kuwashawish wawekezaji kujakuwekez katika viwanda vikubw bila ya kuw na nishati ya uhakika mkuu.
 
Salary Slip,

..sera ya CCM ni kwamba kila mtu ajiajiri, forget about kuajiriwa.

..kwa msingi huo usitarajie kwamba serikali itajihusisha na masuala ya ujenzi wa viwanda.

..binafsi sijaona nchi iliyoendelea bila kuwa na viwanda, au nchi iliyoendelea halafu asilimia kubwa ya wananchi wake wamejiajiri wenyewe ktk sekta isiyo rasmi.

Wasipojenga viwanda vijaona wasio na ajira watakula nao sahani moja na hilo ndio litakuwa anguko la CCM na serikali yake.

Time will tell mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa tungekuwa na viwanda vidogovidogo ambavyo vingekuwa chini ya SUMA JKT kama
viwanda vya kutengeneza,
viatu vya plastik kwa kutu used rambo
kutengeneza funiture kwa kutumia pumba za mpunga
kutengeneza vioo kwa kutumia used glass
viatu vya ngozi.
 
Anglau kwa leo jf tumepata wazo jipya maana kila siku humu watu wanajadili urais utafikiri huwezi kulitumikia taifa bila kuwa rais.

Nikirudi kwemye mada yako mimi huwa najiuliza hawa watu wanaoitwa wa mipango huwa wanapanga nini. tatizo la waafrika kwa ujumla hatufikirri mbali, watu tunafurahia kutimia plasma, iphone, na vitu kama hivyo bila kujiuliza vimepatikanaje. Watu waliwekeza katika entrepreneurship na sera nzuri za ukuzaji viwanda.

Sisi tulijiingiza kichwa kichwa tukakubali mashart ya benki ya dunia bila kufikiri vya kutosha. benki ya dunia inazitaka nchi zinazoomba misaada kutojiingiza katika biashara, kazi yake kubwa iwe kukusanya kodi. walifanya hivyo wakijua sekta binafsi yetu haina mtaji wa kutosha, matokeo yake viwanda vikauzwa kwa bei chee na mashart dhaifu na ultimately vilivyokuwa viwanda vimegeuzwa godown za bidhaa kutoka China na show room. Tukitaka kuendelea inawezekana wakitaka nitawapa mawazo.
 
Back
Top Bottom