Ni kwanini sasa hivi Wazanzibari hawataki kuitwa Wazanzibari?

Ni hivi mfumo wa Muungano uliopo umefanya vitu vya Tanganyika vyote kuwa vya muungano hao wazanzibari waliosaini huo mkataba wamesaini kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio Tanganyika
wanadai bandari hazimo kwenye muungano , NI milki ya nchi husika. Sasa ikiwa ni hivyo kwanini bandari za watanganyika zisainiwe na wazanzibar , badala ya SSH kusaini Basi angeachiwa waziri mkuu kassim ambaye ndie kiongozi wa ngazi ya juu nani Mtanganyika mwenzetu!! why wasaini wao Nani si Kati ya mambo ya muungano!!!???
 
Ni hivi mfumo wa Muungano uliopo umefanya vitu vya Tanganyika vyote kuwa vya muungano hao wazanzibari waliosaini huo mkataba wamesaini kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio Tanganyika
Wajinga wakubwa!
 
Katiba Mpya imesolve hii kitu..
 
Rais Samia, Waziri Mabarawa na katibu mkuu wao ktk wizara anayo ongoza Mbarawa ni kutoka Zanzibar na ndio waliouza bandari za Tanganyika wakaacha kuuza za Zanzibar.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajua Abdu Jumbe yuko wapi kaa hivyo hivyo kibwege bwege wasaliti majizi ninyi
Mimi najua Aboud Jumbe, na sio Abdu jumbe, alipo lkn najua pia Nyerere yuko wapi, najua pia wewe utakuwa wapi kama ambavyo najua mimi nitakuwa wapi. Hii ni safari ya kila mmoja wetu - mimi, wewe na mwingine yeyote.

Mimi siyo bwege ila bwege ni wewe usiyejua hata lugha ya staha, huenda ni kwa kukosa utamaduni wa kuheshimu watu au kukosa malezi kutoka kwa wazee.

Sisi sio wasaliti kwani hatujamsaliti yeyote na wala sio wizi kwani hatujamwibia mtu yeyote. Hebu lete uthibii0sho wa wizi wetu ila kila mtu auone.

Kuzunumza na kuandika kunataka ueledi na staarabu ukikosekana haya yanakuwa ndo matokeo yake.
 
Wameweka rekodi mbaya ya hujuma kwa tanganyika ni Sawa na kukamatwa ugoni Sasa nani anataka atangaze ndo hawataki kuitwa wazanzibari. Dhambi haitasahaulika
 
Sisi wote ni watanzania,kuna watanzania wa bara, na watanzania wa visiwani,
Bara ni Tanganyika,na visiwani ni Zanzibar, Pemba na mafia.
->crocodiletooth, "mtanzania wa mafia"
 
Wewe ni mzanzibari nini mbona naona
Sisi wote ni watanzania,kuna watanzania wa bara, na watanzania wa visiwani,
Bara ni Tanganyika,na visiwani ni Zanzibar, Pemba na mafia.
Hakuna kupaka maneno mbona wazanzibari hawana hiyo wao wanaita wa zanzibar na sisi tujiite watanganyika basi Habari ya 🇹🇿 Bara tuache sasa
 
Ukweli upi? Bandari imeuzwa bei gani? Nchi inaweza uzwa?
Wew kapuku zuzu unasubiria ccm wakwambie ni kweli tumegawa bure bandari za Tanganyika kwa wajomba zetu. Unasubiri utafuniwe kila kitu kama alivyo andika Mkapa ktk kitabu chake kuwa ccm waliiba pesa bank kuu ili kuhonga watu ktk uchaguzi halafu na wew ndio uzinduke. Nyerere alikuwa anawaita watu kama nini msiojitambua ni MAZUZU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…