Kwa hiyo ukijitolea kutoa damu ni hatari kwa afya yako!Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa madaktari ila bado atarudi na kuanza kuhudumia watu wengine bila kuosha mikono wala kuvaa gloves.
Yaani ni mpaka umkumbushe ndiyo afanye hivyo. Nilishaenda hospitali moja nikakuta hawana hata Disposable Tourniquet.
Naamini hapa JF kuna wahudumu wa afya wengi tu. Ningependa kujua ni kwanini Phlebotomists wanafanya hivyo. Shida ni vifaa au ni kutokuwa makini wakati wa kazi?
Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa madaktari ila bado atarudi na kuanza kuhudumia watu wengine bila kuosha mikono wala kuvaa gloves.
Yaani ni mpaka umkumbushe ndiyo afanye hivyo. Nilishaenda hospitali moja nikakuta hawana hata Disposable Tourniquet.
Naamini hapa JF kuna wahudumu wa afya wengi tu. Ningependa kujua ni kwanini Phlebotomists wanafanya hivyo. Shida ni vifaa au ni kutokuwa makini wakati wa kazi?
Eti disposable torniquete kwani umelipia sh ngapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa madaktari ila bado atarudi na kuanza kuhudumia watu wengine bila kuosha mikono wala kuvaa gloves.
Yaani ni mpaka umkumbushe ndiyo afanye hivyo. Nilishaenda hospitali moja nikakuta hawana hata Disposable Tourniquet.
Naamini hapa JF kuna wahudumu wa afya wengi tu. Ningependa kujua ni kwanini Phlebotomists wanafanya hivyo. Shida ni vifaa au ni kutokuwa makini wakati wa kazi?
Tatizo hawana hata zile za kama mkanda, nikashindwa kuelewa wanafanyaje kazi na ni private hospital.Eti disposable torniquete kwani umelipia sh ngapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tuliosomea ufugaji wa sungura, itabidi tutafute mkalimani atutafsirie haya malugha ya kimalkia yaliyotumika hapa...Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa madaktari ila bado atarudi na kuanza kuhudumia watu wengine bila kuosha mikono wala kuvaa gloves.
Yaani ni mpaka umkumbushe ndiyo afanye hivyo. Nilishaenda hospitali moja nikakuta hawana hata Disposable Tourniquet.
Naamini hapa JF kuna wahudumu wa afya wengi tu. Ningependa kujua ni kwanini Phlebotomists wanafanya hivyo. Shida ni vifaa au ni kutokuwa makini wakati wa kazi?
Wasomi wa kitanzania bana... Wanaamini wakitumia kimombo ndio wanathibitisha usomi wao...Flebotomistiki
Jina gumu kichizi yani ndio mnategemea mtu anawe mikono kweliWasomi wa kitanzania bana... Wanaamini wakitumia kimombo ndio wanathibitisha usomi wao...
Mi najua shuleni nilifundishwa kunawa mikono ni kabla na baada ya kula tu . Hizi elimu nyingine zinawahusu wakoloniJina gumu kichizi yani ndio mnategemea mtu anawe mikono kweli
Siyo kweli. Kiingereza ni lugha kama ilivyo Kiswahili tu na haiwezi kuthibitisha ngazi ya elimu ya mtu.Wasomi wa kitanzania bana... Wanaamini wakitumia kimombo ndio wanathibitisha usomi wao...
Tukisema waache kufuata taratibu maana yake hata madereva wa vyombo vya moto waruhusiwe kuendesha kwa mwendo wanaoutaka?Jina gumu kichizi yani ndio mnategemea mtu anawe mikono kweli