Ni kwanini Maelite ndio Wanaompinga Lowasa?

hao unaowaita Maelite wao sio wananchi? Ama ulitaka kusema Lowassa anatoka kundi la Wenyenchi tumuache!
 
Nadhani umesahau kuwa wale watu walikwenda kumuangali diamond si uliona wakati lohasa anataka kuondoka kupanda diamond jukwaani watu walikimbilia kwa diamond badala ya mtia nia.
 
Wengi wenu mtaduwaa yule msiempenda akiapishwa kuwa Prezidaaaa, mzee wa maamuzi magumu.
pangeni hata katapila kuzuia mafuriko lakini litapitiwa tu.
 
Hata Wewe mtoa mada ni Elite ila umekula hela na maharage gani sijui.
Ungekuwa siyo 'elite' usingejua kulitumia neno hilo wala kutoa link kwenye wikipedia.
 

 
Action and reaction are equal and opposite! Nguvu kubwa anayotumia kujinadi ndio hiyo hiyo itatumika kumpinga!
 
anadanganya sana ndo mana wenye akili wanafanya analysis na kuona hafai
 
Walala Hoi mara zote wametumiwa kwasababubu ni wengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…