Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Na wewe ulishawahi kumuomba akakunyima?Wanaingilia majukumu xio yao kuna wanawake wanaomba yaan mpAka ukiona cm yake unaogopa kupokea maana hana kngne zaid ya xhida
Hahaaa kwaiyo mzee bora atulieeLeo kalala nyumbani mara kesho hajalala nyumbani, (binti)
Mara kachelewa kurudi. Yupo bize kuchart na kuongea na sim usiku kucha.
Wamhudumie hao hao wanaomkeep bize.
Mimi mwenzio ilifika hatua niliamua kubadilishaa namba ya simu maana maji yalifika shingoniWanaingilia majukumu xio yao kuna wanawake wanaomba yaan mpAka ukiona cm yake unaogopa kupokea maana hana kngne zaid ya xhida
Sio wadada wote ila asilimia kubwa wadada wa siku hizi ukingia katika mahusiano tuu ni lazima utakutana na neno nina "SHIDA" .
sasa kinachosikitisha unakuta mdada ana wazazi wake wako vizuli lakini sasa anavyokomaa na wewe kukuelezea hizo shida
"kila siku nina shida " mbaya zaidi shida zenyewe haziishii tuu?
Lakini twende mbele turudi nyuma ivi inakuwaje demu anashidwa au anaogopa kumwambia baba yake au mama yake nina shida ya hichi wala kile lakini yeye anakomaa na wewe ndio umtatulie shida zake?
Yeah, akitulia mwanangu ntamhudumia.Hahaaa kwaiyo mzee bora atuliee
Mwambie afanye kazi...Mimi mwenzio ilifika hatua niliamua kubadilishaa namba ya simu maana maji yalifika shingoni
Hahaaa. Hakuna hata mmoja atakayesema kaomba akapewa ila kiukweli wenyewe mmeshakuwa kama vilema sasa mnaombwa ila nyie hamuombi hakuna kingine.........hela
ndio