Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,181
- 3,547
Sio wadada wote ila asilimia kubwa wadada wa siku hizi ukingia katika mahusiano tuu ni lazima utakutana na neno nina "SHIDA" .
sasa kinachosikitisha unakuta mdada ana wazazi wake wako vizuli lakini sasa anavyokomaa na wewe kukuelezea hizo shida
"kila siku nina shida " mbaya zaidi shida zenyewe haziishii tuu?
Lakini twende mbele turudi nyuma ivi inakuwaje demu anashidwa au anaogopa kumwambia baba yake au mama yake nina shida ya hichi wala kile lakini yeye anakomaa na wewe ndio umtatulie shida zake?