Ni kujiamini tu

Hii Kitu ukiangakia kwa jicho lingine utaona kuna kitu inafundisha.
 
Weee boya tu, kuna jembe lipo ndani!
 
watoto ni malaika; hawajui baya hatari na raha, wnaweza kufanya mzaha hata kwenye hatari; Mungu tu anawalinda na kutia huruma ktk wale ambao wangewatesa na badala yake wakawaokoa ama kuwaonea huruma
 
watoto ni malaika; hawajui baya hatari na raha, wnaweza kufanya mzaha hata kwenye hatari; Mungu tu anawalinda na kutia huruma ktk wale ambao wangewatesa na badala yake wakawaokoa ama kuwaonea huruma

Nikiwaangalia wanangu naishia kushikwa na huzuni
 
Hakuna hatari hapo. Unless wako armed na silaha nzito huyo mjeda hawezi kuwafanya lolote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…