Ni kuchokana au?

rubylove

Senior Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
127
Reaction score
42
Kuna rafiki yangu mwanamke ana mpenzi wake na wamedumu mda mrefu sana. Kama 4 years tokea kipindi hicho alikuwa yupoyupo tu, alikuwa hana msaada wowote kwake ila kwa vile walipendana akamua kumvumilia tu. Hivi sasa ndo anamaliza chuo yupo mbioni kupata kazi.

Sasa jana huyowanaume anampigia simu mpenzi wake na kuanza kumwambia ohoo siku izi kunamagonjwa mengi ni bora kiridhika na ulichonacho na kama huridhiki na mimi niambe tu nitakuelewa akajiuliza nimemvumlia miaka yote hiyo yote kumbe alikuwa hajui kama nimeridhika nae au kama leo hii anasema hivi je, tukiingia kwenye ndoa ndo atasemaje? Au ndo kuchokana huku.

Ushauri tafadhali
 
Mbona hakuna tatizo...muambie ajibu swali tu hilo hakuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…