Ni kosa la kiufundi usioe/usiolewe.

Ni kosa la kiufundi usioe/usiolewe.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,305
Poapoa wananzengo?
Kama tunavyojua siku hizi changamoto za mahusiano ni nyingi mno. Unaweza jikuta katika nyumba yenu mnashindana na kubishana kwa kila kitu yaani,hakuna hata siku mnaafikiana.
Nimejiuliza sababu nini? Nikagundua chanzo siyo uchumi,nguvu pendwa wala ndugu. Chanzo ni kosa dogo mlilofanya wakati mnaamua kuungana.
Mfano,unakutana na mrembo flan hivi mahala anahangaikia mambo yake mfano shule au biashara,kazi nk unapokutana nae anahitaji msaada wako kutimiza malengo yake. Unashindwa kumsaidia kupata anachotaka unamsaidia mapenzi. Yaani umehamisha goli tu,kiu yake bado ipo palepale.
Kama mmefanikiwa kuoana ni muhimu sana kurivasi,ile ndoto yake itimie...usimwambie kuwa sasa nishakuwowa mengine basi! Utamfanya awe na stoke ya mauchungu !!kila unavyofanya haridhiki.
Tujiepushe na hili kosa la kiufundi. Kama haupo kwenye nafasi ya kumsaidia haja yake itimie,ni bora umwache aende tu.
Tchao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom