Sikiliza'Unatumia neno HAYATI unapokumbuka maneno au matendo aliyofanya akiwa hai hapo unatamka neno HAYATI lakini unapozungumza huku hukumbuki lolote basi hapo tunatumia neno MAREHEMU tukiwa na maana MUNGU amrehemu huko aliko.Na kwa sababu viongozi mala nyingi tunawaenzi kwa kukumbuka maneno na matendo yao basi hapo tunatumia neno HAYATI masaa yote' kwa maelezo haya si makosa kusema HAYATI Baba wa Taifa.