Ni kitu gani mpenzi wako hana?

Ni kitu gani mpenzi wako hana?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Ni kitu gan mpenzi wako hana lakini unataman sana kama angekuwa nacho?
 
Siwezi jua hadi niwe na mwingine, ukiwa na mpenzi mwingine ni rahisi kujua nini kinamisi kwa mpenzi wako halisi....otherwise naona nyama ni ile ile tu tofauti ni Bucha......au uongo Paloma
 
Last edited by a moderator:
Siwezi jua hadi niwe na mwingine, ukiwa na mpenzi mwingine ni rahisi kujua nini kinamisi kwa mpenzi wako halisi....otherwise naona nyama ni ile ile tu tofauti ni Bucha......au uongo Paloma

Elli............hahahaaaa n'kwei kabisa
 
Last edited by a moderator:
Swali gani sasa hili jamani?Yaani nianze kusema hapa kitu ambacho Mama Kandingi hana?Sio kumvunjia heshima mke wangu huku?Nikisema kitu fulani hana ndiyo itafuata nn next?
 
Back
Top Bottom