aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,047
- 1,665
Nimeona kitu kama kimondo juu kinaenda Kasi nikachukulia kawaidatu ghafla kikabarika rangi nakuwa chekundu kinawaka kamamoto kikaanza kushuka chini kamakinadondoka
Nikahisi tushashushiwa kiazi tayali😐😐😐 mbayazaidi kinakuja uelekeo niliopomimi nusunikimbie😁
Bahati nzuri moto ukazima Moshi ukasambaa ikabaki nyota ikaanza kwenda kuelekea juu ilikotokea
Imenipagawisha wadau