Ni kitu gani cha thamani zaidi duniani?

Ni kitu gani cha thamani zaidi duniani?

Imani na Mola wako,muumba mbingu na ardhi
Hajazaa wala kuzaliwa,na hafanani na yeyote
 
Halafu utasikia "wenye IQ kubwa tu ndo watanielewa".

Then ukibisha kwamba kitu muhimu zaidi sio taarifa utasikia "mkuu IQ yako ndogo"
 
cha kwanza ni uhai mzeee...... tena uhai ulio katika KRISTO YESU!!!
 
Maarifa = Hekima. Hiki ndicho alichoomba nabii Suleiman..

Mwanadamu ukikosa hekima.unakuwa.ka mnyama wa porini hata kama una cheo gani; Madaraka gani ama mali kiasi gani unakuwa ni Punda tu.
Hekima kuu ni kumjua Yesu ya kwamba ni mwokozi wa ulimwengu, na alikuja ulimwenguni kutuokoa sisi wanadamu tuliokua tumepotea!
 
Linda sana Moyo wako kuliko vyote ulindavyo.
1.Mpende sana Mungu.
2.Mpende sana Jirani
 
Mafanikio hasa ya pesa . Ujue baada ya Mungu (japo haonekani ) ni PESA
 
Back
Top Bottom