MimiKila mtu ana maoni yake na pengine yanaweza kutofautiana sana na mwingine,
Lkn kwa miaka mingi vimekuwa vikitajwa vile vinavyochimbwa ardhini au kupatikana chini ya bahari kuwa ni vya thamani zaidi yaani madini na aina mbalmbal za mafuta.
Kwa miaka ya sasa vitu hivyo vimezidiwa thamani na kitu kimoja ambacho ndicho kilicho juu zaidi ya vyote hivyo, c kingine ni TAARIFA
Hakuna kitu cha thamani kuliko Afya, Afya ndio kila kitu, iwe Afya ya akili ama ya mwili Afya ndio kila kitu,,,,Afya kwanza