Ni kitu gani cha thamani zaidi duniani?

Ni kitu gani cha thamani zaidi duniani?

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
743
Kila mtu ana maoni yake na pengine yanaweza kutofautiana sana na mwingine,

Lkn kwa miaka mingi vimekuwa vikitajwa vile vinavyochimbwa ardhini au kupatikana chini ya bahari kuwa ni vya thamani zaidi yaani madini na aina mbalmbal za mafuta.

Kwa miaka ya sasa vitu hivyo vimezidiwa thamani na kitu kimoja ambacho ndicho kilicho juu zaidi ya vyote hivyo, c kingine ni TAARIFA
 
Hahahah wewe muongo,cha thamani hapa duniani ni kufanya matusi.
 
Bila kuwa na afya hiyo taarifa ya umbea utatoaje?!
Afya ndio ya thamani.
Hapo ukiumwa kaswende tu hata JF huku huwezi kuleta ukuda kama huu
 
Maarifa = Hekima. Hiki ndicho alichoomba nabii Suleiman..

Mwanadamu ukikosa hekima unakuwa ka mnyama wa porini hata kama una cheo gani; madaraka gani ama mali kiasi gani yaani we ni Kenge tu, Punda, ka kitimoto vile..
 
Kila mtu ana maoni yake na pengine yanaweza kutofautiana sana na mwingine,

Lkn kwa miaka mingi vimekuwa vikitajwa vile vinavyochimbwa ardhini au kupatikana chini ya bahari kuwa ni vya thamani zaidi yaani madini na aina mbalmbal za mafuta.

Kwa miaka ya sasa vitu hivyo vimezidiwa thamani na kitu kimoja ambacho ndicho kilicho juu zaidi ya vyote hivyo, c kingine ni TAARIFA
Mimi
 
Back
Top Bottom