Ni kipi kiwanja kikubwa cha mikutano Dar?

Ni kipi kiwanja kikubwa cha mikutano Dar?

mayengo

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
42
Reaction score
5
Wana janvi nijuzeni tafadhali. Nimekuwa nikijiuliza ni kipi kiwanja kikubwa cha adhara chenye uwezo wa kukusanya umati mkubwa wa watu wakati wa matukio makubwa makubwa kama vile mikutano ya kisiasa hasa jijini Dar es Salaam? Achilia mbali viwanja vya mpira wa miguu, nataka kujua viwanja vya wazi vyenye uwezo wa kukusanya angalau watu laki moja hivi kwa wakati mmoja.
Nawasilisha.
 
Nadhani kwa ndani ya mji itakua vimebaki viwanja vya Tanganyika packers pale Kawe
 
Tanganyika packers ni kubwa sana kwa mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom