Majesty S P Member Sep 24, 2020 62 85 Jan 29, 2021 #1 Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz.
Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz.
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,045 15,382 Jan 29, 2021 #5 EllySkyWilly said: Laki Click to expand... Ni field au
black short JF-Expert Member Nov 16, 2019 519 969 Jan 29, 2021 #6 We nenda kazini kama umebahatika kupata huku kitaani kuna vifuta jasho tu
buyoya419 JF-Expert Member Oct 20, 2017 555 416 Jan 29, 2021 #7 Majesty S P said: Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz. Click to expand... nipe link ya electrical installation niapply
Majesty S P said: Wakuu natumai mko poa. Nauliza mishahara ya hawa watu chini kwa mwezi. (Gross salaries/Net Salaries). 1. PUMP OPERATORS 2. ELECTRICAL TECHNICIAN Kwenye PumpStations za mashirika kama DAWASCO, DUWASA, MTUWASA, SEMUWASA na kadhalika hapa Tz. Click to expand... nipe link ya electrical installation niapply