Hizi komenti nyingine mtakuja kuangusha watu kwa presha..🤣😂Kwahiyo na mkeo nae huko alipo nae achangamshe mwili na mchepuko?
Baki njia kuu,heshimu ndoa yako,zinaa ni dhambi.
hahahaha that's def me
Mngekuwa mmeumbwa na vichwa viwili ungejua haya mambo sio rahisi kama unavyo komenti hapa kuwa na mke mmoja tunajikaza tu ila ni ulemavuMwambie akitulize, asinunue magonjwa kwa bei rahisi. Kiapo kinasemaje? Wakati wa shida na raha. Ngalikihinja
Wazee wa kumbuni mbwinu🤣🤣🤣umanikumbusha yule jamaa anajifanya kama anasoma taarifa ya habari.Wazee wa mbunu mbadala wanakuja
Mbunu 🤔🤣Wazee wa mbunu mbadala wanakuja
Mwambie Mzee wa kusawazisha akurushie link ya malaya telegram
At least uta save cost kuliko kuwa na mchepuko una hudumia
Kumbuka kinga ni muhimu
Ukute na mkeo huko anaomba ushauri kwa mashoga zake kuhusu kuwq na mchepuko au kupigwa na kusepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta singo m aliyetulia uwe unachangamsha, jizuie kuzaa naye
Boora Mzungu.Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
Kwisha shughuli
Yaani akiweke kwenye friza kabisaaa..!!! KipoeMwambie akitulize, asinunue magonjwa kwa bei rahisi. Kiapo kinasemaje? Wakati wa shida na raha. Ngalikihinja
Zinaa huleta laana na nuksi kwenye familia na uzao wako.
Kende hazijawahi kupasuka kwa kuhifadhi manii nyingi.
Kuwa mvumilivu uokoe kizazi chako.
😂😂😂Atajua yeye ila nikijua ndo imeisha hiyooo sisubiri vikao