Ni kero gani ambayo ushawahi kukutana nayo wakati unatafuta nyumba ya kupanga?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Hata kama umeshashusha mjengo watu wengi huwa wanapanga sana chumba au nyumba

Sasa kabla ya kupata nyumba ya kuishi kunakuwa na ile process ya kuipata hiyo nyumba

Siku hizi kila kona kuna madalali na mimi hawa ndo wananikera sana.

Kuna wakati nilikuwa natafuta nyumba nilizungushwa mno. Can you imagine dalali unahangaika nae wiki mbili kila siku anakuambia nimepata nyumba sehemu ukienda nyumba haina viwango na ni lazima umpe hela kama 10k kila anapoenda kukuonesha nyumba mpya.

Kiukweli nilikuwa nakwazika sana.

Nyie wenzangu vipi? Mkitafutaga nyumba huwa mnakumbana na changamoto gani?

kup.jpg
 
Nilienda msasani kupanga, tullikua mtu 3, mimi na madalali wawili.

Tumefika jamaa wakafungua mlango wa chumba, tukaingia, dalali mmoja akaenda straight mpaka dirishani akasimama akawa hasogei hata kidogo, chumba kizuri tu, lakini nikaona kama kuna kitu nazuiwa nisifanye na hao Dalaliz.

Kila nikitaka kusogea dirishani nifungue kuchungulia mazingira ya nje, kama nazuiwa, kila nikitaka kupiga movement naona kama wanazugazuga wananizuia.

Nikaona poa, nikazuga zuga halafu kwa speed nikasogea dirishani nikafungua nakutana na misalaba kama yooote, kumbe ni makaburi, yaani ukiwa ndani ukanyoosha mkono unashika misalaba.

Kuwaangalia madalali wanacheka nimewastukia

PIA SOMA
 
View attachment 3456286
Nili msindikiza braza mmoja maeneo ya radical muislim, wale wazee walikua na nyumba za kupangisha wakatuuliza dini kwa haraka haraka jamaa akajibu MUISLAMU wakasema mmepata CHUMBA yule bibi AKASE yeye hapangishii wakristo eti WATAPIGA KWAYA KWENYE NYUMBA YAKE....

Kwa mara ya kwanza nikaamini kumbe ile michezo ya maigizo Kuna muda yana sadifu maisha halisia ya watu katika jamiiii
 
Kwaio LILIKUA eneo jirani na makaburini..
 
Nilikuwa nataka kupanga Morocco pale niakpelekwa sehemu iyo hata sikutaka kuingiia ndani nikasema no

Mbona Morocco panaonekana pa kishua sana mkuu

Kumbe kuna sehemu za ovyo?
 
Kuna Nyumba niliwai kuingia nakutana na hao wadada japo wanawake wenzangu lakn mapokeo tu siku yapenda kishali shali tu nikasema hapa HAPN japo Nyumba Iko poa😏

Au ilikuwa uswahilini mkuu 😀😀
 
Nili msindikiza braza mmoja maeneo ya radical muislim, wale wazee walikua na nyumba za kupangisha wakatuuliza dini kwa haraka haraka jamaa akajibu MUISLAMU wakasema mmepata CHUMBA yule bibi AKASE yeye hapangishii wakristo eti WATAPIGA KWAYA KWENYE NYUMBA YAKE....

Kwa mara ya kwanza nikaamini kumbe ile michezo ya maigizo Kuna muda yana sadifu maisha halisia ya watu katika jamiiii

Mitaa gani hiyo mkuu tuiepuke?
 
Back
Top Bottom