Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuna watu wanajaribu kupotosha kwamba hela yetu kubwa inakwenda kwenye kulipia mishahara na kana kwamba hili jambo baya sana kwetu, huu ni upotoshaji mkubwa Dunia nzima sehemu kubwa ya fedha ya Serikali huenda kwenye kuhudumia Wananchi ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara, kwanza siyo Serikali tu sehemu kubwa ya fedha za Kampuni zote kubwa Duniani huenda kwenye Mishahara na siyo kitu kingine na ndiyo maana kila siku Kampuni hupunguza watu!
Kwa hiyo ni sawa kabisa kwa standard ya Dunia nzima sehemu kubwa ya mapato yetu ya mwisho mwezi kwenda kwenye kulipia mishahara!
Kwa hiyo ni sawa kabisa kwa standard ya Dunia nzima sehemu kubwa ya mapato yetu ya mwisho mwezi kwenda kwenye kulipia mishahara!