mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
hata mimi hawajanletea link ya ku view programWote tumeandikiwa wait for next selection ila profile zetu zina tofauti pia , kuna wengine pale chini kuna "go to profile, log out na view choosen programs" lakina kuna wengine pale chini kuna 'go to profile na log out, hakuna option ya view choosen programs' sasa hapo ndipo wanapozidi kutuchanganya...
Wakuu naona diploma holders selection tayari hebu chungulien profile zenu...
Yan wameniandikia katika profile admission status, pale chin result wait for the next selection, chin yake view chosen program, afu go to profile afu log out sa ndio nn hicho inamaana first selection ishatoka afu network yazingua sana
Ipo hivi ukikuta go to the profile view chosen pragram and log out hapo ujue bado but ukikuta go to the profile and logout hapo uhakikaWote tumeandikiwa wait for next selection ila profile zetu zina tofauti pia , kuna wengine pale chini kuna "go to profile, log out na view choosen programs" lakina kuna wengine pale chini kuna 'go to profile na log out, hakuna option ya view choosen programs' sasa hapo ndipo wanapozidi kutuchanganya...
nadhan wewe unazungumzia walioomba kusoma diploma na certificatesTAYARI NACTE WALITOA MAJINA KIMYA KIMYA WIKI ILIYOPITA KATIKA PROFILE.
WALIOCHAGULIWA WALIJULISHWA KOZI ZAO NA VYUO VYAO.
WALIOKOSA WALIPEWA NAFASI YA KUOMBA UPYA KOZI NYINGINE BILA MALIPO.
WALIOAMBIWA WASUBIRI BILA KUFANYA MABADILIKO AU KUOMBA UPYA KOZI NI WALIOOMBA KOZI YA UALIMU.
sawa mkuu tungoje tuone labda yaweza kuwa kweliIpo hivi ukikuta go to the profile view chosen pragram and log out hapo ujue bado but ukikuta go to the profile and logout hapo uhakika
TAYARI NACTE WALITOA MAJINA KIMYA KIMYA WIKI ILIYOPITA KATIKA PROFILE.
WALIOCHAGULIWA WALIJULISHWA KOZI ZAO NA VYUO VYAO.
WALIOKOSA WALIPEWA NAFASI YA KUOMBA UPYA KOZI NYINGINE BILA MALIPO.
WALIOAMBIWA WASUBIRI BILA KUFANYA MABADILIKO AU KUOMBA UPYA KOZI NI WALIOOMBA KOZI YA UALIMU.
Ila soon vilio vya kutotoa selection vitaish vitakuja vilio na huzuni kwa waliokosaYaani kwanza hatukuona First Selection lakini tunaambiwa tusubiri Second Selection! Na haya mabadiliko ya Profile mara kwa mara yamekaa Kisiasa siasa sana.
Mimi pia wameniandikia hivyoMkuu ondoa shaka nahisi bado hawajamaliza selection maana karibia watu 20 niliowauliza profile zao zipoje zinaonyesha kama zako na yangu ikiwemo. Hata mim nilivyoona hilo neno "wait for next selection" nilijua wamenishaniacha ila walau kidogo napata matumain kuona weng wameandikiwa hivyo, tusubir tuone kiongoz
Sidhani kama ni rahisi kukosa chuo ukizingatia GPA tajwa. Labda Mkopo ndo waweza kuwa ishu.Ila soon vilio vya kutotoa selection vitaish vitakuja vilio na huzuni kwa waliokosa
Sidhani kama ni rahisi kukosa chuo ukizingatia GPA tajwa. Labda Mkopo ndo waweza kuwa ishu.