ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Visca Barça.Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!
Juve ukitaka kuamini wana beki visiki ni ile mechi ya serie A walicheza na Napoli mechi ikaisha Juve kushinda 2-1 .Ni Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!
Mkuu una tabiri tuu au unazo fact zilizokufanya kufikia hiyo conclusion?Barcelona hawezi mtoa liverpool, fainali ni liva vs ajax.
Itakuwa ni FAINALI YA WAINGEREZA WATUPU!Barcelona hawezi mtoa liverpool, fainali ni liva vs ajax.
Tena fainal anakutana na team dhaifu sanaNi Jumanne Ya Tarehe 30 Mwezi huu ambapo Fc Barcelona atamkaribisha Liverpool Nou Camp, na siku hiyo pia Spurs atamkaribisha nyumbani Ajax FC kwa mzunguko wa kwanza kabla ya marudiano tarehe 7 May.
Kwa kutolewa Man city Leo kumepunguza hofu kiasi ya Pep Guardiola ambaye anaifahamu vizuri barca,tishio la pili ambalo nalo la kutokupuuzia ni vijana wa Ajax fc hawa ingawa kwa barca hawana jeuri ya kuwazuia endapo watakutana fainali lakini hofu pekee ni je ukuta wa barca utahimili safari za hawa madogo? Maana ktk kila dakika 5 lazima wawapumulie ndani ya box.... Akina shakila atawahimili? Tukumbuke juve wana ukuta imara lakini mwisho wa siku wakaachia.
Pamoja na maangalizo yote hayo bado nampa barca nafasi kucheza fainali na hatimaye kuchukua ndoo kwa yeyote atakaekutana nae
Viva Barcelona!!
Hahahaha unaongea kama umemfunga Messi miguuBarcelona hawezi mtoa liverpool, fainali ni liva vs ajax.
Ubeki wao Bora unadhihirishwa na Napoli?Juve ukitaka kuamini wana beki visiki ni ile mechi ya serie A walicheza na Napoli mechi ikaisha Juve kushinda 2-1 .
Aisee kuna muda Juve walirudi nyuma maana mashambulizi yalikua hatari kutoka kwa forwad za Napoli ila walizuia vibaya mno.
Sasa hii inajenga picha kua Ajax wanapenetrate sehemu ngumu hivyo team itakayocheza nayo inabidi ijilinde kwelikweli.
hata hivyo mechi ya ajax hakwepo kamand chielin na alianz rugani ambae sio first elevenJuve ukitaka kuamini wana beki visiki ni ile mechi ya serie A walicheza na Napoli mechi ikaisha Juve kushinda 2-1 .
Aisee kuna muda Juve walirudi nyuma maana mashambulizi yalikua hatari kutoka kwa forwad za Napoli ila walizuia vibaya mno.
Sasa hii inajenga picha kua Ajax wanapenetrate sehemu ngumu hivyo team itakayocheza nayo inabidi ijilinde kwelikweli.
Niko satisfied na form ya liverpool ya sasa kiasi cha kwamba hii barca niliyoiona haiwezi kumtoa liver. Kiuhalisia sina fact nyingi za kuelezea kuwa liverpool atamtoa barca.Mkuu una tabiri tuu au unazo fact zilizokufanya kufikia hiyo conclusion?
Sawa mkuu ila kumbuka Barcelona ni kama kinyonga,hua inabadilika kutokana na mazingira,Barca vs Liver,tegemea kuona performance tofauti kabisa toka kwa Barca,natabiri hii game ndio itakayotoa bingwa wa ongoing UCLNiko satisfied na form ya liverpool ya sasa kiasi cha kwamba hii barca niliyoiona haiwezi kumtoa liver. Kiuhalisia sina fact nyingi za kuelezea kuwa liverpool atamtoa barca.
Totenham hawezi kimfunga Ajax.Kuna kila dalili fainali ni liveroool na Totenham
Liverpool atachezea goli za kutosha kiasi kwamba watapoteana uwanjani!Niko satisfied na form ya liverpool ya sasa kiasi cha kwamba hii barca niliyoiona haiwezi kumtoa liver. Kiuhalisia sina fact nyingi za kuelezea kuwa liverpool atamtoa barca.