Ni JUKUMU lako Rais na Serikali yako kutoa msaada wa chakula wakati wa MAJANGA

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Mh rais Magufuli kauli uliyoitoa Bariadi na ambayo umekuwa ukirudia rudia kuwa HUTATOA msaada wa chakula in case kuna NJAA nchini naona SI kauli ya HURUMA na HEKIMA inayotakiwa kutolewa na KIONGOZI hasa rais.

Mwaka 2005 New orleans USA walipata pigo la Hurricane/Kimbunga Katrina. Watu wengi walikufa na maelfu kukosa MAKAZI.
Rais wa Marekani (SERIKALI) alitoa CHAKULA na HIFADHI ya muda kwa waadhiriwa.
Huwezi KULIKIMBIA jukumu la OFISI yako ya URAIS.Maana ulikula kiapo cha OFISI (OATH of Office) ikiwa ni pamoja na kuyalinda maisha ya Watanzania.

Ni LAZIMA uwe na moyo wa KUJALI! Hawa watu ndo waliokupigia kura. KUTOWAPA MATUMAINI ni kusahau kuwa hawa hawa ndo UTAWAHITAJI 2020 .wakati unaomba kura.

Na kauli zako hizi ndo WAPINZANI wako WATAZITUMIA kuwakumbusha wananchi na kukufanya uwe rais wa MUHULA MMOJA.
Maana picha watayoitoa kwa wananchi ni kuwa wewe ni RAIS ASIYEJALI WATU.
Na itakugharimu.
 
yan mm nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu.HV unaposhangilia matamko km Yale unamaanisha nini????watanzania tujielewe jmn huyu MTU kuna tatizo.
 
What is wrong with you guys, taarifa sahihi anazo kiongozi wenu mkuu. Sasa mnaanzaje kuwa na wasiwasi. He is the one you trusted and henceforth forwarded to stand for your needs. Tulieni maana bado muda upo wa kutosha
 
Back
Top Bottom