Ni jukumu gani zito ulilowahi kubebeshwa na mpenzi hadi likakupelekea kukimbia mahusiano?

Pole sana...

Kwa upande wangu mpaka sasa mahondaw wangu, hajawahi nipa jukumu likanishinda...


Labda akiniambia nimtafutie dawa ya kuishi mielele hapo ndiyo nitashindwa....


Cc: mahondaw

Dah.....nyie mapenzi yenu yana sound za kishambashamba sana mixer na utoto, hata ukiwa jukwaa la siasa lazima umention mahondaw wako; of which sio dalili njema kwa mtoto wa kiume!
 
Pole sana...

Kwa upande wangu mpaka sasa mahondaw wangu, hajawahi nipa jukumu likanishinda...


Labda akiniambia nimtafutie dawa ya kuishi mielele hapo ndiyo nitashindwa....


Cc: mahondaw
na utahsindwa kwa sababu hilo liko nje ya uwezo wako ila lingekuwa ndani ya naamini katu usingeshindwa safi sana hii
 
Mwisho wa mchezo ilikuwaje Mkuu
B mkubwa alikomaa akamwambia akimsikia tena au hata amekuja nyumbani atampiga!
Wakati huo mi nilikua while sielewi chochote kinachoendelea,nikarudi likizo mama akaniuliza hivi wewe umemuahidi Fulani ukihitimu form six unamuoa?
Nikakataa kata kata nikajifanya na Mimi ndio nasikia kutoka kwake
 
EBANA MEEZY UKO SAHIHI MTOTO ULEAFYO NDIVYO AKUAVYO DEMU AKISHAZOEA MAPESA MAPESA KUTOKA KWAKO SIKU UKIMWAMBIA HUNA HAWEZI KUKUELEWA.........

NA IKITITOKEA UKAACHANA NA DEMU BASI AUTOMATICALLY DEMU ANAGEUKO MALAYA KWA SABABU ULISHAMZOESHA MAPESA PESAA SASA NA YEYE ATAKUWA AMEATHIRIKA KISAIKOLOJIA

HIVYO KAMA WEWE ULIKUWA UNAMUHONGA LAKI MOJA HAWEZI TENA KUISHI NA MWANAUME WA ELFU 20 AU 10 ZA KUMUHONGA HIVO NI LAZIMA ATAFUTE WA SAIZI YAKE
Ahahaa hawa viumbe ukizoesha vibaya utabak kulia mjin apa..kwa kuwa ushamzoesha pesa mwisho anakuomba umnunulie kiwanja..anatakiwa ashauri baby nunua kiwanja chetu tujenge,sio baby ninunulie kiwanja..pesa unaweza msaidia kama uwezo huo unao kweli sio una fake kwa kuwa ushamzoesha pesa kmbe huna kitu utaumia na iwe kwenye shida ya msingi unajua na mtu mwnywe ana malengo,sio wale s8 imetoka baby natak na mm
 
Comments nyingi zinaonyesha wadada kuombaomba kwa wakaka! Ina maana wakaka hawawabebeshi majukumu wadada hadi wadada kukimbia?
 
Nilianza nae vizuri miezi ya mwanzo namgegeda mara kadhaa,
Baada ya miezi 3 akadai hakuna kugegedana mpaka nimuoe,
Nlimvumilia mwezi mmoja nkaona bado anakomalia nkamwambia tafuta ambaye hana mashine labda ataweza kuvumilia
 
Niliruka sikutoa halafu alinitaiti ile siku tuliyopanga nimgegede ila alivyotaja tu masuala ya elfu hamsini nyege zote zilikwisha na nikapata safari ya gafla
DUU NILIHISI BAADA YA HAPO ULIAMUA KWENDA KIMBOKA KUTULIZA HASIRA
 
Ila Mkuu huyo mdada nilimpenda sana ila stress na mawazo ya kumtimizia malengo yake ili mradi nimfurahishe kwa kumpa kile anachotaka mwisho wa siku niliamua Ku surrender tuu yaishee
Lazima uachane nae coz huna kitu mfukoni.
 
Mimi aliniambia kuwa amepata kidume mwingine mwenye pesa kwa hiyo mimi jukumu langu liwe ni kumpa mkayembe tu.Kisha yule jamaa awe ATM,nilitoka mbio nila kuangalia nyuma.
 
Back
Top Bottom