NI JIMBO LA MWISHO KIMIUNDOMBINU DARESSALAAM

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,872
1,206
Unaweza kujionea hapa barabara za jimbo la ukonga zilivyododa!!

Tangu UHURU barabara hii ya Kivule~Banana imekuwa mateso kwa wakazi!!
7643e452274c6890847c9d7a8bac94c6.jpg
c738189d126a2c715561fa1f1dd30d66.jpg
638515a2b48e5cf70f34caec20d8830f.jpg
356d3d3a41bacafec2866b21314d535c.jpg
 
Yaani tangu enzi za mama Eugene Mwamposa mpaka leo hii hakuna maendeleo ya miundombinu?
Haya, Mwita Waitara kazi kwako!
 
Mbona poa tuu...tulishazoea.. Mbona hata hizo za lami msasani zinajaa madimbwi?
 
Back
Top Bottom