Ni jambo lipi ushawahi kufanyiwa na demu wako na mpaka leo hutaweza kulisahau?

Alinipiga kibuti siku ile ile na laana juu,mke mkubwa tukaachana mpaka leo sina mke,kila ninayekutana nae naona hafai kuwa mke
Hhhahahahahaha yaan nimecheka jamani kama mazuri kwahiyo leo unaranda randa tu upo upo mahusiano hayaeleweki
Pole sana kwa hiyo unautangazia umma jimbo lipp wazi
 
Hhhahahahahaha yaan nimecheka jamani kama mazuri kwahiyo leo unaranda randa tu upo upo mahusiano hayaeleweki
Pole sana kwa hiyo unautangazia umma jimbo lipp wazi
Jimbo liko wazi kabisa ila nahitaji maombi kabla maana mshipa wa kupenda ni kama uko loose
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom