Ni Internship vs Volunteer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Internship vs Volunteer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by D2K, Aug 9, 2012.

 1. D2K

  D2K Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuh wanaJF, ni mmoja kati ya wa2 wanaoathiriwa na ugonjwa wa ukosefu wa AJIRA hapa nchini hvyo nimekaa na kufikiria nikaona ni bora niombe ku2mikia ofic za watu hata kama ctalipwa ili mradi ujuz nilio nao ucje ukapotea,swali je natakiwa niandike barua ya INTERNSHIP au VOLUNTEERING?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Internship inamaanisha wewe hujui hizo kazi unapenda uende pale ukajifunze. Volunteer inamaanisha unajua unaenda kuwasaidia.Which one you preffer?
   
 3. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Nakushauri andike uombe kujitolea, volunteer. Binafsi nilifanya hivyo katika shirika moja na baada ya zaidi ya miezi 6 niliajiriwa na maisha yanasonga. Ukipata nafasi hizi unakuwa na nafsi kubwa ya kujenga mahusiano ya waajiri na waajiriwa toka sehemu nyingine na zaidi unakuwa unasomeka na kufikika, 'ie address'
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  na usije andika kihuni kama hapo Juu!
   
 5. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naombeni nitajieni ofisi yyt ambayo inataka watu wa kujitolea,manaake nimechoka kukaa hom
   
 6. D2K

  D2K Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanx kwa ushauri wenu ndugu,nitaufanyia kazi.
   
Loading...