MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 715
- 1,423
Wanasema mapenzi si PESA ila zikipungua na mapenzi YANAPUNGUA [emoji23]Uwe na akili nzuri, uwe na uwezo wa kujitegemea kifedha mi ntaongezea zikipungua
Mambo ya sura na kalio achana nayo
Namba 2 ina nguvu zaidi inabeba yote, namba 1 kama ni legelege inaweza solviwa na vumbi la kongo, alkasusu na mchuzi wa pweza [emoji23] vilevile no 3 nayo inabebwa na no 2, kifupi PESA ni kila kitu.Hapo hamna ziada!
Kama hana hela akae kwa wazazi wake [emoji41][emoji41]Wanasema mapenzi si PESA ila zikipungua na mapenzi YANAPUNGUA [emoji23]
Mkuu kwani wanaotafuta wenza ni KE tu?Jata ME huwa tunatafuta wenza mkuuKumbe na wewe ni ke [emoji44]
Au tuoane my dear Coletha55,kama tuna similaritiesTuko pamoja
Nimeolewa my dearUshagaili kuolewa ?