Ni hospitali gani naweza kumaliza tatizo la uume legelege??

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
599
Ninasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi was hili tatizo msaada wako Ni muhimu sana, maama mwenzenu naumbuka huku.
 
Nwasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi was hili tatizo msaada wako Ni muhimu sana, maama mwenzenu naumbuka huku.
HAKUNAGA
 
Inawezekana kabisa ukawa huna hilo ambalo wewe unadhani unalo.....asilimia kubwa ya maradhi hasa haya ya nguvu za kiume ni wahanga wanajitengenezea wenyewe vichwani mwao...kwa hofu na uoga wa tendo....tendo la ndoa linataka utayari wa nafsi na mwili.....na nafsi ndio injini ya utendaji kazi na mwili unafuata marlekezo ya ubongo.....nakushauri kwanza nenda ukaonane na wataalamu wa saikolojia....nina uhakika watakusaidia sana tatizo.....nina kumbu kumbu nzuri sana ya watu waliofanikiwa kupitia njia na wenye matatizo kam yako.....
 
A

hao wataalamu wa saikolojia ninaweza kuwapata wapi??
 
wacha punyeto na kula vyakula vya wanga na mafuta kidogo.palachichi na ndizi kwa wingi.WACHA KUPIGA BAO LA MKONO.

swissme
 
Inawezekana kabisa ukawa huna hilo ambalo wewe unadhani unalo.....asilimia kubwa ya maradhi hasa haya ya nguvu za kiume ni wahanga wanajitengenezea wenyewe vichwani mwao...kwa hofu na uoga wa tendo....tendo la ndoa linataka utayari wa nafsi na mwili.....na nafsi ndio injini ya utendaji kazi na mwili unafuata marlekezo ya ubongo.....nakushauri kwanza nenda ukaonane na wataalamu wa saikolojia....nina uhakika watakusaidia sana tatizo.....nina kumbu kumbu nzuri sana ya watu waliofanikiwa kupitia njia na wenye matatizo kam yako.....
Inawezekana ikawa kweli maana kuna jamaa alinishauri nitafute pesa tu uwezo wa kugegenda utakuja tu, anasema hata yye akiwa hana pesa uwezo wake unashuka kwa kasi ya ajabu
 
Fanya mazoezi hasa ya kukaza misuri na kukimbia angalau mita 500 kwa siku.
Na kula vyakula vyenye wanga kwa wingi
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri, ila inasemekana vyakula vya wanga Ni vya kuvikwepa sana ili kupambana na magonjwa kama sukari ambayo yanaweza yakakusabishia matatizo zaidi, labda wanga unaosemea Ni UPI ?? Maana kuna wataalamu wnashauri vyakula vya wanga si vizuri labda nafaka ambazo hazijakobolewa kama dona
 
Back
Top Bottom