Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri.

1. Wapi walipo Ben Saanane na Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotea?
2. Wakina nani walimuua Alphonce Mawazo na wengineo kina Ruwena?
3. Wakina nani walimpiga risasi shujaa wa tanzania Tundu Lissu? rais mtarajiwa?
4. Nani alikutuma ujenge uwanja wa ndege chato usiokuwa na faida kwetu sisi wapiga kura? ufisadi mpya tumeujua
5. Uliposema wanaopinga vita ya madini hawasitahiri kuishi nani ulimulenga?
6. Nani alikutuma kuwabomolea watu nyumba zao bila fidia hadi kuwatia umasikini wa kutupwa?
7. Nani alikwambia shida za watanzani zinatatuliwa kwa kununua ndege, au kujenga madaraja?
8. Nani alikwambia usiwape haki zao wafanyakazi wa nchi yetu kwa miaka yote 5 kwa kisingizio mbarabara?
9. Nani alikutuma kula rambirambi za watu wa mkoa wa kagera?
10. Nani alikwambia uwatishie watanzania kwa kuwatia hofu na uwoga ili wasikuhoji unapokosea?
11. Ziko wapi Noah ulizotuaidi kutupa kila mtanzania baada ya kupata pesa ya makinikia?
12. Wasiojulikana ni kina nani?

28 october, 2020 tukutane, kichinjio ninacho.
 
Awamu hii imekuwa kinara wa ufisadi hakuna huruma kwao tuwatumbue.
 
Umesahau kutuulizia na zile milioni 50 zetu kwenye kila Kijiji! Mimi nipo huku Usambaani Milimani nazisubiria ili nikapigie mnazi.
 
13. kwanini aliuza nyumba za serikali kifisadi alipokuwa waziri?

14. kwanini alinunua kivuko kibovu cha kwenda Bagamoyo, na kwanini hakionekani?
 
Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri.

1. Wapi walipo Ben Saanane na Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotea?
2. Wakina nani walimuua Alphonce Mawazo na wengineo kina Ruwena?...
Moyoni anasikitika alivyoshindwa kumuua jamaa kwa risasi mchana kweupe
 
Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri.

1. Wapi walipo Ben Saanane na Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotea?
2. Wakina nani walimuua Alphonce Mawazo na wengineo kina Ruwena?....
Moyoni anasikitika alivyoshindwa kumuua jamaa kwa risasi mchana kweupe
 
Upinzani ulishajifia tangu 2015, kilichobaki ni futuhi .
Hhhhhhh kwisha zakooo mlisema upinzani utakufa matokeo haya mnayoyaona mjue mnawekwa madarakani na NEC POLICECCM NA JESDHICCM
 
Back
Top Bottom