Mkoa wa DSM hauna mkuu wa mkoa, William Lukuvu kateuliwa kuwa waziri
Atamteua Januari Makamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM. Si ukoo wao unahusiana na Mkoa huo? Babake kawahi kuwa Mkuu pale kwa atayawza.
kwani CCM kuna watu zaidi ya hao? alafu mbona watu wengne mnauliza maswali ya kitoto utafikili mgeni hapa? Unakimbizwa nini?Hahahaaaaaaa, kwani tz hakuna watu zaidi ya el na makamba?
Muda huu unaopita, jk anamalizia kutangaza Baraza la Mawaziri. Mpaka dakika hizi za nyongeza, jina la EL bado halijatokea. Na kwa kuangalia tu kwamba Wizara zinanazoendana na HARAKATI zake zimekwisha tajwa zoote. Sitarajii jina lake liitwe kwenye nafasi zilizobaki. Napata HISIA labda EL anausubiria Ukatibu Mkuu wa ccm?! Kiti ambacho awali kilionekana kumsubiri Kinana hapo 2012
Ni HISIA tu, niongozeni kwenye YAFUATAYO