Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Endelea kushangilia ujinga siku akimbana dingi yako ndiyo akili zitarudiπ²π²π€£π€£
Alipokwenda kumzuru Tundu Lissu kule Kenya ....ALIFAA NA MTU MZURI SANA!
Serikali yake ilipowaacha huru UAMSHO.....ALIFAA NA MTU MZURI SANA!!!
Serikali yake ILIPOMUACHIA HURU MDUDE NYAGALI....ALIFAA NA MTU MZURI SANA.....
Kesi ya Mbowe....wakarudishiwa milioni 300.....ALIFAA NA MTU MZURI SANA......
Rais si wa KUENDESHWA na RIMOTI CONTROL na CHADEMA NA WENGINEO.....
ENDELEENI KUUFUKUZA UPEPO
Hayo uliyoyaorodhesha ndiyo tamanio la Ccm yenyewe. Hawako tayari kuona WaTz wakiwakataa kwa njia kura. Watadhulumu mradi wanajua bunduki ziko nyuma yao.Wabongo wameshaamka.....hawataki ujinga wa TIGRAY ,Kongo ,Somalia na kwengineko.....bora uwe na amani na utulivu huku ukila mlo mmoja kuliko "MILO 3 KATIKATI YA UWANJA WA MACHAFUKO"
#SiempreCCM
#TujitokezeniKuchanjwa
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Dingi yangu si mwanasiasa....Endelea kushangilia ujinga siku akimbana dingi yako ndiyo akili zitarudi
Tii mamlaka ANENA BWANA....Hayo uliyoyaorodhesha ndiyo tamanio la Ccm yenyewe. Hawako tayari kuona WaTz wakiwakataa kwa njia kura. Watadhulumu mradi wanajua bunduki ziko nyuma yao.
π€£π€£Kusodoma tunakupinga kwa nguvu zote ndio maana Watanzania tulimkataa Lissu 2020 ili asituletee mambo hayo!
ACHA CHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVUNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.
... ndivyo mnavyojidanganya na siasa zenu za "ndotoni"....Umeniwahi mkuu. Nilitaka kumwelewesha hivo japo sidhani Kama atakuwa kakuelewa maana ukiwa ccm lazima uwe huna akili.
Mamlaka za kishetani kama hii ya Lumumba [emoji102][emoji3517]Tii mamlaka ANENA BWANA....
AWAMU YA UBABE HII na KUBAMBIKIA WATU KESINchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.
Ajabu alijidai kutokutaka watu wabambikwe vyesi !!. Kumbe wale waleAWAMU YA UBABE HII na KUBAMBIKIA WATU KESI
Wakati wa mwalimu kuanzia mwaka 65 kulikuwa na chama kimoja mpaka anaondoka. By the way kinachogombwa hapa ni Sheria. You are setting a bad example.Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
kwahiyo acha jazba.Kwahiyo?
Amani ! My foot[emoji1787][emoji1787]Leo mh.Samia amekua ni zaidi ya mtu mliyekesha KUMSHAMBULIA, KUMZODOA NA KUMLAANI [emoji44]
Si katili....bali ni majukumu tu ya RAIS WA NCHI.....
#SiempreCCM
#SiempreJMT
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoWenyeweNiAmaniNaUtulivuWaNchi
#KaziIendelee
Who careNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.
Uoga wake ndiyo umetufikisha hapa, watu wanakula pesa ya umma bila uoga, hata Iddi Amini ilikuwa ni mamlaka kama zilivyo zingine.Dingi yangu si mwanasiasa....
Haandamani KISIASA Wala KIDINI....
Anaitii serikali kwa kuwa maandiko yamemtaka hivyo.....
Yuko na jembe lake....
#KaziInaendelea
#SerikaliMbiliMilele
Kumbe ni wew, nilitaka kushangaa ni nani huyu tena kawa headless chickenKwa hili la Vikao vya CCM ni halali kwasababu ni utaratibu uliokuwepo. Na kila kiongozi wa CCM anauenzi utaratibu hata kama Kuna wavimba macho wachache wanaoupinga. Hayo ya kuua muulize Gaidi Mbowe!
KWA HIYO KITU KIKIFANYIKA MARA NYINGI HUGEUKA KUWA HALALI HATA KAMA NI HARAMU?Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
Mkuu duniani kote hakuna wanachama wanaopenda sifa Kama wanachama wa ccm,Nchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama.
Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.