Damas peter
Member
- Apr 27, 2013
- 15
- 2
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie
follow your heart

Ulipowakuta wakigegedana ungeua bila kukusudia
Bado Unampenda mkeo?
mna watoto?
Mlifunga ndoa?
Kama haya yote jibu lake ni HAPANA, achana naye