Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,338
- 1,126
WanaJF, mimi ni mmoja ya watu walioudhiwa sana na mahakama ya rufaa pale ilipopiga chini hoja ya mgombea binafsi. Nimefanya utafiti wangu kwa muda sasa na nimegundua kuwa, katika watu wote waliopo kwenye siasa kwa sasa ni wanasiasa watatu tu ambao wanaweza kushinda 2015 wakigombea kama wagombea binafsi nao ni Dr. Slaa akigombea Karatu, Mh. Lowasa akigombea Monduli na Prof. Mwandosya akigombea Rungwe Magharibi. Wanasiasa wengine waliosalia hawana nguvu ya kushinda nje ya vyama vya siasa.
Kama unadhani wapo embu tutajie
Kama unadhani wapo embu tutajie