Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,307 Reaction score 18,724 May 29, 2022 #21 Manndasori said: Kutokumjua Mungu na kweli yake ndio laana, umaskini sio laana ni jitihada zako tu unajikwamua fresh tu mbona Click to expand... Jitihada bila baraka za Mungu ni bure
Manndasori said: Kutokumjua Mungu na kweli yake ndio laana, umaskini sio laana ni jitihada zako tu unajikwamua fresh tu mbona Click to expand... Jitihada bila baraka za Mungu ni bure
Mahotera JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 762 Reaction score 1,892 May 29, 2022 #22 mudy92 said: Sasa mbona wakiulizwa wanadai Hatuwezi haya Mambo kwasababu ni ya rohoni..... Click to expand... Mambo yote ni ya Rohoni isipokua SADAKA. Kila kanuni ina exception zake😎🤑
mudy92 said: Sasa mbona wakiulizwa wanadai Hatuwezi haya Mambo kwasababu ni ya rohoni..... Click to expand... Mambo yote ni ya Rohoni isipokua SADAKA. Kila kanuni ina exception zake😎🤑
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,162 Reaction score 138,363 May 29, 2022 #23 katika wachungaji wamefeli ni kunilia hela zangu
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,307 Reaction score 18,724 May 29, 2022 #24 Manndasori said: Kutokumjua Mungu na kweli yake ndio laana, umaskini sio laana ni jitihada zako tu unajikwamua fresh tu mbona Click to expand... Kujikwamua ni maarifa nayo utoka kwa Mungu
Manndasori said: Kutokumjua Mungu na kweli yake ndio laana, umaskini sio laana ni jitihada zako tu unajikwamua fresh tu mbona Click to expand... Kujikwamua ni maarifa nayo utoka kwa Mungu