Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,853
- 1,521
Una m cc: Mshana jr......kwani unadhani hizo dawa zinahusiana na ndumba.Cc Mshana jr
Dawa gani hiyo kiongozi? Mie wamekomba kila kitu sebuleni, nalilia TV yangu flat screen 38'' Hakika ningeijua dawa ya aina hiyo ningewalipua!Hao dawa yao IPO, wakiiba mbona watarudisha tena wakilia
Ni kuwaroga tu...kiukweli mm mwizi hanisumbui,Dawa gani hiyo kiongozi? Mie wamekomba kila kitu sebuleni, nalilia TV yangu flat screen 38'' Hakika ningeijua dawa ya aina hiyo ningewalipua!
Hao wezi hawahitaji huruma ni kuwaroga tuwezi walikunywa kwanza chai???
Wanalinga sana na hiyo dawa yao, yaani wakikupulizia unajikuta unaamshwa asubuhi saa mbili na majirani.wezi walikunywa kwanza chai???
Iyo klolofom inakuwa kama perfume au ya unga? Then ina control kiru gani katika mwili mpaka unalala fofofo.!
!
Wanatumia klorofom mkuu wanapuliza wewe ukiivuta kwishne
Ha! Ha! Alafu ukiamka unaweza ukawa unacheka mwenyewe.umenikumbusha mwaka 2009 tuliibiwa vitu vyote mpaka nguo zilizotundikwa nyuma ya mlqngo nass tumelala humohumo ndani sikujua mpaka leo walitumia dawa gani kali kiasi kile.... lol