Ni Daressalaam si Mbeya!!

Ngonepi

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
1,875
Reaction score
1,213
Hii ni mojawapo ya barabara kuu zilizopo ndani ya jimbo la Ukonga wilaya ya ilala Daressalaam.
Barabara ya kutoka Banana mpaka Kivule-Msongola!!

Jimbo ninaloamini ni la mwisho kabisa kimaendeleo kwa Dsm!!
 

Attachments

  • 1439999287631.jpg
    26.9 KB · Views: 1,510
  • 1439999328868.jpg
    37 KB · Views: 2,751
  • 1439999372552.jpg
    33.8 KB · Views: 1,335
kwa hiyo kisa hujafika mbeya ndio unadhani kuna barabara mbaya hiyo...!!! kubali matokeo tu, kuwa dar nako ni kubaya tu, sehemu nyingi tu hamna maendeleo...sio hapo tu, nenda kunduchi, tandale, manzese, hata nyuma ya Ubungo plaza tu mbona barabara mbaya afadhali hata hiyo...
 

Hii ni barabara kuu mzee!!
Labda kama sijakuelewa vizuri, hivi nyuma ya Ubungo Plaza kuna barabara kuu nako!!?
Kuna barabara iliyo chini ya TANROADS ambayo ina hali kama hii katika hizo sehemu utajazo mkuu!!?
 
bara bara yenu ni ndefuuuuuuuuu adi rahhaaa a
 
Hii ni barabara kuu mzee!!
Labda kama sijakuelewa vizuri, hivi nyuma ya Ubungo Plaza kuna barabara kuu nako!!?
Kuna barabara iliyo chini ya TANROADS ambayo ina hali kama hii katika hizo sehemu utajazo mkuu!!?

sasa kwa nini uifananishe na mbeya... dar ina u-special gani mpaka ikose barabara mbaya..!! lakini kwa mbeya unaona ni sawa..!! hapo tu ndio ulipokosea.
 
Hii ni mojawapo ya barabara kuu zikizopo ndani ya jimbo la Ukonga wilaya ya ilala Daressalaam.
Barabara ya kutoka Banana mpaka Kivule-Msongola!!

Jimbo ninaloamini ni la mwisho kabisa kimaendeleo kwa Dsm!!
Umefika Mbeya wewe?
Nakupa sehemu fulani pale Tukuyu.
 
Dar ni jiji namba moja Tanzania!
Jiji lenye bandari kuu Tanzania.
Jiji lenye makazi ya viongozi wote wa Nchi yetu!
Jiji ambalo ilipo IKULU ya rais wa Nchi!!

Huoni kwamba Dsm ni jiji la kipekee kuliko yote Tz!!

Kinachoniumiza ni kuwa pamoja na sifa zoote hizi bado kuna jimbo lina barabara ambayo ina fanana kabisa na za MAKETE!!
 
Hakuna barabara ya Tukuyu Makete.
Sawa na kusema lete picha ya Daresalaam-Zanzibar!!

Kutoka Dsm kwenda Zanzibar kuna BAHARI!!
Labda mimi siijui vizuri jografia ya nchi yetu hivi Tukuyu pia kuna BAHARI!!?
 
Nakuomba pia unipe picha za barabara za Tukuyu-Makete napia naomba ukibahatika wakati mwingine unipe picha ya barabara ya Mbalizi-Mkwajuni.

barabara ya mbeya mkwajuni. lami inaishia kwenye shamba la mzungu na huko mbunge sio sugu ni mbunge wa ccm. ukija barabara za mitaani nyingi ni lami na bado wanajitahid jenga tena za kiwango kizuri sana zaid ya hizo za magufuri. pia hata ukiangalia usafi mbeya mjini wamejitahid sana. mfano mdogo angalia stend ya mkoa ya nane nane na hata ile ya mjini halafu uje uringanishe na stend yoyote ya hapa dar. ukija hospitali rufaa ni safi sana na hata huduma zake huwez ringanisha na hospitali zenu za dar hapa
 

Kuna kitu nimeshindwa kusomeka hapa!

Nilichotaka kuwasilisha ni masikitiko yangu kwa Jimbo la Ukonga Daressalaam kuwa na miundo mbinu dhaifu kuliko majimbo yote hapa Dsm!

Nimetumia Mbeya kama kinogeshi kuwakilisha "mikoani" na jiji hili ambalo malighafi zooote za kitaifa na kutoka mataifa ya nnje hufikia hapa!!

Naona baadhi ya wadau wameshtuka kutajwa mkoa wao wakidhani nililenga kuunanga na si kweli!!
 

bora sasa ungetumia mkoa unaosadifu topic yako...mfano simiyu au kigoma lakini kwa mbeya hapana, lile jiji aisee
 
Sante mkuu! Wakati mwingine itakuwa hivyo, bat nau nadhani ntaeleweka!!
 

Sahahihi mkuu, wakati mwingine nitafanya hivyo japo kwa sasa naamini nimeeleweka!!
 
Kutoka Dsm kwenda Zanzibar kuna BAHARI!!
Labda mimi siijui vizuri jografia ya nchi yetu hivi Tukuyu pia kuna BAHARI!!?
That's my point, kama unaweza endesha baharini na vilindi vyake, basi lazima utaweza kuendesha kuvuka mlima Rungwe na Livingstone Ranges.
 
That's my point, kama unaweza endesha baharini na vilindi vyake, basi lazima utaweza kuendesha kuvuka mlima Rungwe na Livingstone Ranges.
Ngoja nijifanye kimbelembele cha kusuruhisha kama nitaweza maana watu wamepaniki na kutumika kwa mkoa wao kama ni sehemu zenye barabara mbaya japo si kusudio la mleta mada,iko hivii kama nimemuelewa vizuri mleta mada anajaribu kutuelezea ni jinsi gani barabara zilivyo mbaya hata hapa Dar ambako watu wengi wetu tunaamini ni mkoa uliyo vizuri kuliko mikoa yote (na ni kweli ni mkoa uliyo mbele kuliko mikoa yote kwa TZ) kwa hiyo watu wasidhani ni Mbeya tu(mtoa mada ameutumia kama mfano japo ipo mikoa mingi iliyovibaya zaidi ya Mbeya)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…